cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Uko sahihi sanaWewe umefiri vizuri sana.Huyo amefanikiwa kwa haraka sana.Na pia inaonyesha huyu jamaa amekulia mazingira magumu utotoni na pia bright sana.
Uko sahihi sanaWewe umefiri vizuri sana.Huyo amefanikiwa kwa haraka sana.Na pia inaonyesha huyu jamaa amekulia mazingira magumu utotoni na pia bright sana.
Mungu Baba akubariki.Kumuunga mkono Tundu Lissu anapo inyoosha ccm na mwenyekiti wake, kuunga mkono mabadiliko yoyote yale ya kuiondoa ccm madarakani hakunifanyi mimi kuwa mwanachama wa chama chochote kile cha siasa.
Yaani hata atokee kichaa kama Adolf Hitler, akiahidi tu kuiondoa ccm madarakani! Hakika nitamuunga mkono. Ccm ni ukoo wa panya. Ikiendelea kuitawala nchi yetu, umaskini wa kipato utaendelea kuwaumiza wananchi wengi, nikiwemo mimi! Na hilo halikubaliki.
Alikuwa anafundisha Kashozi Sekondari na shughuli nyingine.Tujazie time gaps. 1993 alienda JKT kuanzia June hadi December. Alikuwa wapi kuanzia January 1994 hadi alipojiunga UDSM 1997?
Ahahahahah mbona unampa laana mwenzio?Age ni Numbers tu pia ana achievement kubwa ambayo wewe hutakaa umfikie
Tusishangae tena! Mark your words...this is the one who was predicted!Aisee msishangae huyu ndo akawa Rais ajaye. Siku hizi mambo ni upside down!
Kumbe chama chenu munawaunga vichaa watupu. Inamana huwamnasimamisha vicha wapigiwe kura na wasiovichaa mkitegemea washindeee??Kumuunga mkono Tundu Lissu anapo inyoosha ccm na mwenyekiti wake, kuunga mkono mabadiliko yoyote yale ya kuiondoa ccm madarakani hakunifanyi mimi kuwa mwanachama wa chama chochote kile cha siasa.
Yaani hata atokee kichaa kama Adolf Hitler, akiahidi tu kuiondoa ccm madarakani! Hakika nitamuunga mkono. Ccm ni ukoo wa panya. Ikiendelea kuitawala nchi yetu, umaskini wa kipato utaendelea kuwaumiza wananchi wengi, nikiwemo mimi! Na hilo halikubaliki.
Na hili ndilo tatizo linalo wasumbua nyinyu Mataga! Yaani mnadhani kila anayeichukia ccm au mwenyekiti wenu kutokana na utawala wa hovyo, basi ni lazima awe Chadema! Poleni sana.
Sijampa laana bana ana mind minor issue kikubwa kutimiza malengo, Obama alikuwa president akiwa kwenye 50s while Trump and biden wamekuwa Marais kwenye 70s zao. Kikubwa kwenye maisha kila mtu ana mda wake wakutimiza malengo au ndoto, age isiwe limit ya kutokutimiza malengo yakoAhahahahah mbona unampa laana mwenzio?
Usahihi: Barack Obama alikuwa na miaka 47 wakati anaukwaa urais wa MarekaniSijampa laana bana ana mind minor issue kikubwa kutimiza malengo, Obama alikuwa president akiwa kwenye 50s while Trump and biden wamekuwa Marais kwenye 70s zao. Kikubwa kwenye maisha kila mtu ana mda wake wakutimiza malengo au ndoto, age isiwe limit ya kutokutimiza malengo yako
Thanks for clarificationUsahihi: Barack Obama alikuwa na miaka 47 wakati anaukwaa urais wa Marekani
Jane ni kawaida Sana kwa miaka aliyoanza shule. Kipindi hicho waliokua wanawahi ni watoto wa waalimu tena hasa mijini na hapo ndio anaanza na miaka 8 au 9.Kwanini alichelewa sana kuanza darasa la kwanza? Miaka 12! At this age mimi ndiyo nilikuwa namaliza darasa la 7.
Jane ni kawaida Sana kwa miaka aliyoanza shule. Kipindi hicho waliokua wanawahi ni watoto wa waalimu tena hasa mijini na hapo ndio anaanza na miaka 8 au 9.
Waliosoma miaka hiyo achilia mbali kuzungusha mkono ili uguse sikio la upande wa pili. Watoto walikua ni msaada mkubwa Sana kwao wazazi hasa kulima na kuchunga au kama ndio mtoto wa kwanza kulea wadogo zako wakati mama anaendelea na mishe nyingine...
Zamani shule zilikuwa chache, nilianza darasa la kwanza na miaka 11 mwaka 1989 na wakati huo Kuna waliokuwa na miaka 14 tupo nao, yaani wenye miaka 10 na 11 tulikuwa wachacheKwanini alichelewa sana kuanza darasa la kwanza? Miaka 12! At this age mimi ndiyo nilikuwa namaliza darasa la 7.
Vijana wetu hawa ni jukumu letu kuwaelezea mambo ambayo hawakupatapo kuyaona...Anashangaa Bashiru,atafute Nyerere alianza shule ana umri gani?
Wewe Mbunge wa Vitu Maalum una matatizo gani! Huyo niliyemjibu alinituhumu kuwa mimi ni chadema! Sasa kumjibu ndiyo kubwabawaja?Jenga hoja acha kubwabwaja
Wasifu wa Dakta Bashiru kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.
=====
Huyu ndiye Dk Bashiru Ally
Dar es Salaam. Miongoni mwa mambo yaliyoibua mjadala ni uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally kuwa balozi na katibu mkuu kiongozi.
Ni uteuzi ambao haukutarajiwa uliokwenda sambamba na msomi huyo kuteuliwa kuwa balozi, wengi wanajadili uzoefu wake wakiamini anaweza kuitumikia vyema nafasi hiyo.
Uteuzi wa Dk Bashiru ulitangazwa jana Ijumaa Februari 26, 2021 na mapema leo Rais John Magufuli amemuapisha kwa mujibu wa katiba ya nchi na kuanza kutumikia upya wadhifa wake huo mpya.
Dk Bashiru Ally alizaliwa Januari mosi, 1968 katika Wilaya ya Bukoba vijijini Mkoa wa Kagera na kupata elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Katerero wilayani humo kati ya mwaka 1980-86.
Mwaka 1987 alijiunga na shule ya sekondari ya Kilosa mkoani Morogoro alikosoma kidato cha kwanza hadi cha nne mwaka 1990 kabla ya kujiunga na shule ya sekondari ya Ihungo iliyopo Bukoba alikosoma kidato cha tano na sita na kumaliza mwaka 1993.
Mwaka 1997/98 alijiunga na Chuo kikuu cha Dar es salaam akisomea shahada ya kwanza sayansi ya siasa na kumaliza mwaka 2000 ambapo aliunganisha na kusoma shahada ya uzamili aliyomaliza mwaka 2002.
Mwaka 2003 aliajiriwa na taasisi ya Haki Elimu lakini mwaka huohuo alihamia Chuo kikuu cha Mzumbe ambako alifundisha kwa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kama mhadhiri msaidizi.
Akiwa chuoni hapo aliendelea na kusoma akichukua shahada ya uzamivu kuanzia mwaka 2011 hadi 2015.
Amewahi kuwa makamu mwenyekiti na kaimu mwenyekiti wa Chama cha kitaaluma cha UDSM (Udasa), makamu Mwenyekiti wa chama cha wanataaluma nchini.
Kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Mei, 2018 Dk Bashiru akiwa mhadhiri mwandamizi katika idara ya sayansi ya siasa UDSM vilevile alikuwa akiongoza kurugenzi ya mijadala na makongamano.
Ni mtafiti na mwandishi wa makala mbalimbali zilizochapishwa kwenye matoleo ya machapisho mbalimbali na kiitikadi amejipambanua kama mjamaa na mfuasi wa sera za hayati Mwalimu Julius Nyerere hata kabla ya kuweka wazi kuwa yeye ni mwanaCCM.
Kuhusu familia Dk Bashiru alioa kabla hata hajaanza kusoma chuo kikuu mwaka 1994. Yeye na mkewe Zulaika Hashim walijaliwa kupata watoto wawili wa kike, Halima na Hasanat.
Chanzo: Mwananchi
Ww mtoto wa 1990s unataka kujifananisha na mtu wa 1968?Jane,
Hata mimi nimeshangaa sana, pia form one aliingia akiwa na umri wa miaka 19! Hii ni kwa mujibu wa "CV- Wasifu" .
Undergraduate umri miaka 30 hivyo ameanza kazi rasmi akiwa na umri miaka 35 ! Kama wasifu usemavyo kama siyo akiwa na umri wa miaka 40 ktk uhalisia. Na hapa ameanzia ngazi ya chini ktk utumishi wa umma chuoni UDSM.