Hii ni implication ya nepotism kwa nchi yetu. Dr. Bashiru ni moja ya evidence jinsi ambavyo watu wasiokuwa na god fathers lakini very potential wanakosa nafasi za kuwajengea capacity kwakua tu hawakupewa nafasi hiyo kwakuwa hawakuwa na wakuwashika mkono.Ana bahati Sana cv yake ya kawaida Sana, hana hata experience ya kimataifa
Usingetegemea Dr. Bashiru na potential yake yote hiyo akose kuwekwa kwenye sehemu mbalimbali na kum expose kwenye nafasi ambazo kwayo leo hii angekuwa zaidi ya jinsi alivyo hapo. Ndani ya CCM ameonyesha uthubutu na kujenga institution ambayo si rahisi watu ku gang up na kuunda mitandao kwa maslahi yao binafsi...
Kwa nafasi yake kama Katibu Mkuu Kiongozi na toa wito kwake kuangalia mifumo yote ya utumishi wa umma inayoshindwa kuwajemgea capacity watu wake kiasi ambacho hata wale ambao wameonyesha potential wameshindwa ku excel kwasababu ya who knows who....So unfortunate hata vyuo vikuu siku hizi hizi tabia zimeanza kujitokeza.
Watu wanadhani wanakomoa mtu; is a cost to everybody kwakua tutakosa viongozi ambao watatakiwa kutupeleka level za juu simply because ya individualisms...