Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Kumbe hakuwahi kuwa mwenyekiti hata wa shina zaidi ya ujumbe. ...ngoma inogile ccm bye bye. ... utingo kapewa semi trailer apeleke mzigo wa mafuta kongo
Hapo ndo nimeshangaa mwandishi aliposema ameshika nyadhifa mbali mbali za uongozi kwenye chama....kumbe MJUMBE!!!!!???
 
Kumbe hakuwahi kuwa mwenyekiti hata wa shina zaidi ya ujumbe. ...ngoma inogile ccm bye bye. ... utingo kapewa semi trailer apeleke mzigo wa mafuta kongo
naona bado mnaendelea na kawimbo kenu ka CCM bye bye ila kila chaguzi CCM inapeta hamjihisi kuwa mazuzu?
 
Kesho kumekucha...usiku watu wakiwa wanatambika naamini wengine watakuwa wanasali kufunika mabaya yote.
 
Kaka lizbon kwani vip tena hii si wanayo wana idodomya Tayari ama tunarudia uchaguzi?
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mtarajiwa na raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli.

Kaa chonjo.
 
Umesahau sifa ya kutumbua majipu maana kwa sasa tunaisoma namba wananchi wote bila kujali vyama
 
Kumbe hakuwahi kuwa mwenyekiti hata wa shina zaidi ya ujumbe. ...ngoma inogile ccm bye bye. ... utingo kapewa semi trailer apeleke mzigo wa mafuta kongo

Wewe utakuwa CHADEMA au UKAWA...hongera
 
Umeuliza swali ambalo halihusiani kabisa na hoja yangu yaani out of context. ..fuvu lako
Nikuulize swali jingine. Mlipomteua Lowasa kuwa Mgombea Urais kwa CHADEMA na UKAWA, alikuwa na uzoefu gani chamani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…