MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
- Nifungulie thread hii hainihusu hahaha na wewe unawasoma hao malaya wanaojiuza India ndio source yako of info pole sana duh hahahahaha
Le Mutuz
mbona unacheka cheka tu kwenye kila post!!!! vipi mzima kweli wewe
Mr mutuz embu wape vidonge hao empty brain wasio na ixhu mjini kazi kutukana watu wazito na heshima zao . hahaahaaa iam realy enjoying this
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
Wala madaraka si shida. Shida imekujadu, kazi kweli! kwamba naye ni mteule wa Raisi! ndiomaana rasimu ya jaji warioba ilikua inaelekeza namna ya kupunguza mamlaka ya raisi kwenye teuzi mbalimbali
- hahahahaha eti Slaa ni Doctor wa nini hasa? hahahahah
Le Mutuz
Nikweli ila elimu ziko zaina nyigi hata ujinga nao kwa CCM nh elhmuKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
amedisco mara mbili muccobs akapigiwa kifua na sitta, kinara wa kutukana viongozi wa kitaifa, amewahi kumpiga mzee waryoba. hiyo ndo cv niijuayo
- Mtaujua vizuri sana mzigo kwenye uchaguzi wa Majimbo ya Kawe na Ubungo hahahaha
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
Bro hyu le mutuz inasemekana ni bwabwa Ndo maana anasifia wanaume matajiri umr miama54 akili miaka24Ngoja nikufundishe kuwa analyst mzuri...
Wewe mtoto wa Mzee Malecela una degree tatu (kwa mujibu wako, binafsi sina uhakika na hilo kwa vile hufanya ni na mtu mwenye degree tatu, nina maana wewe ni mweupe sana kichwani) Makonda ana degree moja tena ya magumashi kwa vile alikuwa hafanyi assignment na kutafuta watu wa kumsaidia, cha ajabu wewe mwenye degree tatu za vyuo vya kata kutoka sijui wapi hujazawadiwa hata ukarani wa afisa wa serikali ya mtaa, ila Makonda ni DC.
Sasa swali langu....
Utaacha lini kusifia wenzio tena vijana wadogo kama Makonda na umri wako ulionao? Wewe kila saa upo mitandaoni kusifia wanaume lini na wewe utasifiwa mkuu? Wewe ni nani nchi zaidi ya kuwa mtoto wa Malecela?
Hivi kwa umri wako, degree zako feki unazojisifiaga na umbo lako, wewe ni mtu wa kujikomba kwa Makonda kweli? Mwizi wa simu! Kijana asiye na nidhamu kwa wazee? Kijana anayetetea wezi?
Brother this is too low for you, badilika mkuu! Kuna siku nilipata nafasi ya kuongea na wewe nikakwambia wewe hustahili haya yote, ukijurebisha huenda ukawa hata RPC lakini si kwa tabia yako ya sasa.
Hata maccm wenzako na kudharau ndo maana huwajawahi kukupendekeza uwe japo afisa wa serikali ya mtaa.
Jifunze kujitathimini mkuu, achana na utoto wewe ni babu sasa, hauko level ya akina Makonda. Wewe ni baba yake Makonda kwa umri wako, so stop!