Unatia huruma sana.Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..
Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
Acha ukilaza tembelea tovuti ya bungeUnataka ujue ikusaidie ,nini?,mbona CV ya mbowe haijulikan popote Dunia [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa hiyo hata Wizara inayohakiki vyeti ni wauza unga?Ni ufinyu wa fikra kudhani kuwa kila anayedai ukweli ujulikane kuhusu elimu ya makonda ni muuza dawa za kulevya. Vita haianzi mpaka pawepo sababu, na sababu kaileta makonda mwenyewe.
Necta wakitengeneza cheti wamejichafua maana watu wanajua Sekondari aliyosomea jamaa akazungusha.Mkuu saivi cheti OG ndio kinatengenezwa thus why yuko kimya. Na usishangae yule mtangazaji kule tabora akapoteza maisha au akaja kua bonge la tajiri, hii inaitwa uza ng'ombe tusolve kesi ya mbuzi.
Acha asulubiwe tu mana dogo alizidisha sana.Wauza unga bhana. ,toka awali mlikuwa wap
Nashangaa, Mbowe anaejulikana amefeli angeleta cheti cha ufaulu ndio ingekuwa issue.Mtuhumiwa amefeli lakini ana cheti cha ufaulu wa daraja la juu ndio maana tuaomba uthibitisho. Au nae aje na utetezi alipewa jina la Nesi- Doctor.Kwani KUB ana tuhuma za kugushi vyeti? Yeye si vyeti vyake vina failure tu. Kuna kosa gani hapo? Mtoa mada ungejikita kumtetea na kumsafisha bwana ako. Huwezi safisha hizi tuhuma kwa kutumia kufeli kwa Mbowe.
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Duh! Msomi wa dunia!!!??????- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Tofautisha Kati ya kuchaguliwa na kuteuliwa..acha ujingaKama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
Hili limewakalia kooni,hatokiNecta wakitengeneza cheti wamejichafua maana watu wanajua Sekondari aliyosomea jamaa akazungusha.
Ukiona Mwanaume anatumia nguvu nyingi kumtetea na kumsifia mwanaume mwenzake basi Najua wajua kinachoendelea..Dunia imeshaharibika hii- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Nilijua tuu hili likijakazi la Daud litasimama kumtetea coz naskia Daud amelipa kazi hiyo- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Nilijua tuu hili likijakazi la Daud litasimama kumtetea coz naskia Daud amelipa kazi hiyo
That is not sin ...kiongozi yeyote kazima CV yake ijulikane kwa jamii na ndo maana hata wewe kuajiliwa lazima kampuni ujue CV yakomtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
hahahaaaaa kumbe makelele yote yale kumbe hamna kitu