Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

najaribu kuunganisha doti lkn zinafutika ......sauti ya MUNGU
 
we nawe akili yako tope tu.. kwendraa kule na hoja zako chakavu zisizo na mashiko
 
Hahahahaaaa...acha movie iendelee...lkn jamani hv kuna wa kumtumbua makonda kweli?? Naona hata mtumbuaji mwenyewe vyeti havija timia ....teh teh teh teh , hakyamungu dunia duara
Hahahahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kionjo cha CV yake akiwa moshi ni pamoja na kukopa mashati dox pale jengo la stendi ghorofani na hajalipa mpaka kesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CV za nn? acheni Unyumbu mbona Mbowe anaongoza maprofesa chadema, Kama huna karama ya uongozi hata usome vipi bado utashindwa kuongoza hata mtaa wako tyu.
 
Hukusikia crackdown ya Mama le Peof Ndali? Kwani alisema hao wamesamehewa? Ila hy kanunua hakurudia , ni mifano miwili tofauti.....
 
jamaa anakimbiza nyumbu mbaya mno mbona mnamgwaya hivyo[emoji53][emoji53]
 

Kumbe ni msomi wa dunia?
 
teh teh..sugu, mtu mkora kwenye kazi ya heshima.
Kwani nani hajui kuwa Viongozi wetu wengi na wanaccm wanavyeti vya kuchakachua hata Mbunge wa NZG vjjn Kigwangalla sio majina yake yeye anaitwa Hamisi.NASSORO.Bagaire.hayo majina mengine ya Andrew.Hamisi Kigwangalla anajua yeye alikoyayoa! Sio ajabu Akina makonda nao wakawa ktk mfumo huo![emoji114]
 
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Mmmmmmmh kwa pumba zile amewazid kweli

Hivi mnasema hata darasa la saba alimaliza kweli?

Mbona IQ ya makondo=-0.5=-1/2

Sasa mburula makondo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namna hiyo tunamfananishaje na wasomi kama mbowe maana mbowe elimu yake kubwa mno kama unabisha lete data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…