???- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Akili matope huamini wengine wote ni kama yeye na hujisema mwenyewe kuwa ni akili matope hahahahahahah
- le Mutuz
Bila soni, wasema.Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Huyu Konda lazima atakuwa na matatizo fulani katika elimu yake, iweje ni shida kupatikana CV yake? kuna thread nyingine hapa watu wanaomba kuiona CV yake lakini hakukuwa na jibu. Hapo lazima kuna tatizo tu na si bure.Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

ya kweli hayo?alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kumbe hili kubwa J bado lipo? Bado linaishi kwa David Mosha......na kutumwa akamtafutie vimwana? Kubwa zima!!!
GPA ya 2.9 mkuu ndio msomi wa dunia??
Toa la SLAAKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Ondoa jina la SlaaKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Ina wasomi wazuri sana kama Lusinde na Abdallah Bulembo... Hongera sana ccm.[emoji122] [emoji122]Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Shikamoo baba vipi siku hizi unakunywa maji mengi nini?safi sana mzee wetu- Akili matope huamini wengine wote ni kama yeye na hujisema mwenyewe kuwa ni akili matope hahahahahahah
- le Mutuz
Ina wasomi wazuri sana kama Lusinde na Abdallah Bulembo... Hongera sana ccm.[emoji122] [emoji122]
Kilaza wewe- Akili matope huamini wengine wote ni kama yeye na hujisema mwenyewe kuwa ni akili matope hahahahahahah
- le Mutuz
Shikamoo baba vipi siku hizi unakunywa maji mengi nini?safi sana mzee wetu
Wewe mikwala mingi hamna kitu-hahahahahaha vipi CV ya Sugu au ndio maji mengi? hahahahahaha
le Mutuz Nation
Huna lolote we- Akili matope huamini wengine wote ni kama yeye na hujisema mwenyewe kuwa ni akili matope hahahahahahah
- le Mutuz