ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Kubwa jinga upo?endelea kusifia wanaume wenzio na kipiga picha na warembo umr ushakutupa mkono ujue- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Ujinga mzigo
Achana na omba omba by natureLe Mutuz nakuheshimu mkuu
Pamoja na kwamba baba yako na familia yako mnaishi kwa mgongo wa kodi za wavuja jasho jaribuni kuwa wakweli panapo hitaji ukweli.
Sigiyemwisi alilokuwa kijana alikuwa mtu wa kutegemewa sana hata kidogo ni mwone mwalimu kama alitaka kumzima miaka ile ya udiplomasia pale NY.
Lakini sasa naanza kuona kuwa lipo tatizo kwenu maana unaona hata vituko vya kina Lusinde.
Sasa kwa heshima niliyo nayo kwako jaribu kuwa mtu wakusaidia taifa hili usiwe kama washabiki ambao hawana exposure.
mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- hahahahahaha wanasema ukitaka kujua elimu za wengine sema yako kwanza sasa si ungeanza na Mwenyekiti wako kwanza and then Sugu na Mnyika ndio uulizie ya CCM au hata ya Dr. Slaa eti huwa ni Doctor wa nini hasa? hahahaha
Le Mutuz
Hivi huyo makonda ana uhusiano wa ki biolojia na huyo sita?alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Kwa maana nyingine ni kuwa kichwani ni sheeedaAlipataga GPA ya 2.9 kwa kusaidiwa pale muccobs baada ya kufeli na kurudiarudia mana alikuwa hamalizi
Naona siku hizi umeanza kupata nguvu baada ya mama kupata tena kibarua- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kama wewe ulivyo jaa mapovu kwenye pembe za midomo yakoUkiulizia mwenyekiti wao watajaa mapovu mdomoni.
Imdondokee mara ngapi mkuu,hujui kuwa mama kapewa u rc?Bahati nasibu haijakudondokea?
Mbona wewe unafanya kazi kona bar na bado unaitwa mheshimiwa?Kama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
Watakuwa wamekosea kwani baada tu ya makonda kuingia kinondoni ndio upinzani ukachukua hiyo wilaya sasa kapewa mkoa basi tena uchaguzi ujao dsm yote inaenda upinzaniKinachoangaliwa sio unachodhani. Kwa sasa wanaangalia, wilaya kwa wilaya, ni nani ataweza "kushughulikia" chaguzi zinazokuja. Ndiyo maana imebidi wafanye mabadiliko makubwa saa hizi. Makonda ameonekana ndiye ataweza hiyo mikiki Kinondoni.
Rudi kwenu ukalime shamba la urithi wacha kujidhalilisha hapo lumumbaKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika