Wasifu (CV) wa January Makamba

Kuna vitu vipo wazi juu ya hawa vijana wa bavicha maana hoja zao zakitoto na zakutafuta promo sasa km alifel ama alifutiwa matokeo leo yu wapi j.m?kufail ni sehemu ya maisha point ni hii j.m alistragle mpaka kufika alipo.haya ww ben saa mbovu ambaye hujaiba paper,na umefaulu toka primary hadi chuo,WHO R U 2 DAY? Zaidi ya kusambaza majungu na kupewa sifa za kishamba kamanda hata mgambo humjui..build ur own profile usitumie watu.
 

Kijana,tunajadili udanganyifu na tuhuma za wizi wa mitihani.Hatujadili kufaulu ama kufeli.Huu upeo mdogo wa kuchambua mambo inaonyesha pengine hata wewe ni mnufaika wa wizi wizi na udanganyifu katika mitihani.

Kufika mbali unakoona ni mbali kwa njia za kitapeli na udanganyifu hakutakujengea heshima badala yake utavuna dharau kwa bei rahisi.Tunajadili uadilifu.

Haya Mambo ya BAVICHA hapa yanaingiaje?Au ni madhara ya udanganyifu kwenye mitihani?Hii mipasho haitafuta tuhuma,bali January atoe majibu.Kama ninyi ndio wasaidizi wake basi tatizo hili litakua kubwa zaidi
 


Eti eeh??

I am suffering from identity crisis si ndiyo??

Mimi sihitaji iyo unayodhania wewe,so whats your identity??i can see umekuja hapa jukwaani hadi kujiverify ili kuonesha ni kwa jins gani wewe uko smart na jins gani unavyojiamini young boy,

So,let me give you a piece of an advice,if you are talking about your identity its good,try to build your own identity in a good manner,

Sio kwa kukimbilia mitandaoni na kujikweza kweza ooh sijui umesoma india,sijui umesomeshwa na serikali,una elimu hii na hii,kuweka CV zako na kuwafanya watu watambue undan wako,skia no one gives a damn about that,hujui watu wana CV gani humu ndan au wana maisha ya namna gani,mbaya zaid ni kwako wewe uliejiweka wazi humu na ili hali watu wanajua uhalisia wako na status yako,kwamba ni njaa kali na mchumia tumbo,

Mdandiaji wa nyota za baadhi ya viongoz wa chadema na kuhis kwamba jambo hilo litakutoa,sijui siku wakifa au wakistaafu uongoz hao unaowalamba lamba viatu utakimbilia wapi sijui,

Umekaa kufitinisha viongoz ndan ya chama uonekane wewe ni mjuzi zaid,unajua saikolojia za watu n etc,huna unalolijua


Mtu kama zitto kabwe sio saiz yako,ana maisha yake,ana elimu zake,ni kijana aliehangaika kivyake kujenga identity yake na kulisaidia taifa lake na chama chake,wewe umefanya kitu gani cha maana cha kupimana misuli na yeye??

Kuna kipiind ulikuja kutuaminisha wengi kuwa kabwe ni msalit ndan ya chama cha chadema kumbe ulikuwa unatafuta namna ya kujenga identity yako??

Well,identity haijengwei hivyo,ishi maisha yako,tafuta shughuli za msing za kufanya na kukupatia utulivu wa fikra na mawazo yako na sio kuja humu mitandaoni kujaza jaza server na mabandiko ili uonekane kama una influence hali ya kuwa si chochote si lolote,

Matter of fact me sion tofaut baina yako wewe na wale wachumia tumbo wenzako njaa kali kama mtela na shonza,wote ni wale wale,na ni watu kama nyinyi mnaoharibu moja kwa moja reputation ya chama kama chadema.

Live now Brother,,
There's no promise of a second time around.
 
kweli BIG amekutisha hadi unaongelea pembeni kinafiki mjibu uone. dogo uko empty sana, wivu na majungu ndo vilivyokujaa.

Ilikuaje mtu akubali kurudia mtihani kwa uzembe uliofanywa na NECTA?Kama huna majibu kaa pembeni
 
Basi jamaa anabahati km atakuwa anadanganya na kufika alipo.wat a move aisee..huna hadhi ya kujibiwa na j.m we mwadilifu ni nani hii leo ndani ya tz..shame on u lito man
 

Wewe nawe kama huyu dogo kakupiga za uso tulia tu maana wewe unaonekana una chuki za wazi wazi.Kuna mdau kasema ushauri unaotoa unakufaa wewe binafsi nimeona logic.Acha chuki jibuni hoja zake sasa
 
Basi jamaa anabahati km atakuwa anadanganya na kufika alipo.wat a move aisee..huna hadhi ya kujibiwa na j.m we mwadilifu ni nani hii leo ndani ya tz..shame on u lito man

ww ndiye Mwaipopo uliyemtangaza january kuwa mgombea nini.Maana hizi njaa unazoonyesha hapa si mchezo.kijana acha kujipendekeza nawe.nimefuatilia huu mjadala sana sana naona mmezidiwa mno na hoja za Ben mmeamua kumshambulia binafsi.Hivi kweli ninyi ndio wasomi wa vyuo vikuu aliowatuma JM baada ya kuzidiwa na kijana mmoja wa cdm huku?Tuijenge CCM kwa kujiegemeza kwenye hoja kama ilivyokua zamani
 
Wewe nawe kama huyu dogo kakupiga za uso tulia tu maana wewe unaonekana una chuki za wazi wazi.Kuna mdau kasema ushauri unaotoa unakufaa wewe binafsi nimeona logic.Acha chuki jibuni hoja zake sasa


Tell me brother,hivi unakuwa na chuki na mtu usiemjua na asie na status yoyote kweye jamii for what??

Hivi mfano wewe unaweza ukawa na chuki na mim??hunijui sikujui,same applies to him,hatumjui huyu mtu,hana lolote alilolifanya la maana labda tuseme ndan ya chama kama chadema,hana lolote kama kijana alilolifanya ndan ya taifa hili tukasema tumwangalie kwa jicho la shujaa au jicho la husda,hafahamiki na yoyote.,labda niambie wewe unamjua huyu??

Sasa ana nin cha maana asiambiwe na kushauriwa kwamba ni muda sasa umefika kama kijana wa kuish maisha yake na kuacha kuwa mtu wa majungu majungu kama mwanga??

Mimi naeleza kitu nachofeel kukieleza,huyu mtu ni hopless sana,then kajisahau kwa sifa anazopewa pewa na watu hopless wanaoshindwa kutumia bongo zao kufikiri sawa sawa,

Hii hoja ya Makamba ipo pale pale,na mimi siko hapa kumtetea,ila inapobid kuwaambia watu kama hawa ukweli,lazima tuwaambie ili hizi fikra zao hasi ziondoke vichwani mwao,thats all
 

Msamehe kaka hajielewi ndo maana ni kibaraka hiyo elimu yk ya bombey ya movie..mtu msomi anatumwa na form 6 mwenye 0..ur nothng ben compired to zito n j.m
 



Km unajua hoja achen kujadili watu tena ambao wametaabika kuwa walipo..km unadhan j.m alilala akaamka na kuwa alipo nawe lala tena usisahau kupiga na kiroba wanachokugawia.
 


Umesema kweli ndugu!

Opportunists ni watu hatari sana....anaweza fanya lolote ilimradi apate anachokihutaji hata kama kina ua moral conscious yake. Ukimsoma huyu jamaa utaina hii ni main weakness yake ndiyo maana ali cheat mitihani, anatumia majina makubwa makubwa jwenye CV yake kujustify uwezo wake badala ya kuja na evidence za kazi ya mikono yake, anafurahia kupita bika upinzani kwenye ubunge badala ya kusikitika kwamba amekosa opportunity y ku compete na ku win aweze kufanya self evaluation kama ilivyotokea kwenye cheating ya mitihani.

So as you read his CV you see this opportunistic character na anaiendeleza bado kwKutafuta watu wa kumpa jina kama hii habari ya sasa. Yeye badala ya ku toka public na kukemea hizi tabia kwa wanafunzi kujihusisha na siasa yupo kinya anataka kudandia urais kupitia hawa vijana walio kisa morals; huo urais akiupata at the expense ya kuharibu tabia za vijana atapata faida gani? Kumbuka kama kiongozi ana set a precedence na kwa hili tendo tu attitude ya vijana wengi imekuwa corrupted.

Umempa ushauri mzuri atulie tu afanye kazi ajiamini na asiendeleze tabia ya udanganyifu ya kutaka kujionyesha he is best huku akikwepa kupitia mitihani/challenges ambazo zita mpima to what extent he is good, better au best. Kila mtu ni best katika kitu fulani so ajiachie na kukubali challenge ili ajipine na kujitambua yupo best kwenye sphere ipi ya maisha
 

Ame,

Precisely my point!Great analysis.
 
Last edited by a moderator:
Mtuhumiwa anaitwa hapa aje ajibu hoja watu wengine wanakurupuka kumjibia kwa kutokwa na povu as if wao ndio waliiba mtihani! JM anatakiwa aje hapa na id yake real ajibu siyo nyie mnao mu attack kamanda Ben kama vile yy ndio kaweka uzi hapa! swali la kamanda lipo simple tu ss haya mapovu yote ya nn? Mh. JM tafadhari toka chimbo uje ujibu hoja hapa najua upo hapa njoo umjibu Ben yaishe si wengine tupate ukweli.
 
Msamehe kaka hajielewi ndo maana ni kibaraka hiyo elimu yk ya bombey ya movie..mtu msomi anatumwa na form 6 mwenye 0..ur nothng ben compired to zito n j.m
And who do you think u're if not Januari's piece of shit!
 
Nchi hii bwana. Watu wanatumia sana nguvu ya mdomo. Zikiombwa CV za Mbowe, Sugu, Lema, Mnyika wanasema CV sio ishu. Upande mwingine wa shilingi CV ni big deal.

Suala la JMAKAMBA kuiba mtihani wa Form 4, sio Suala. Lishajibiwa sana hapa January Makamba.com lakini inaonekana kana kwamba watu wanataka tamko la Waziri wa Elimu. Basi poa. Ili tuweze kuendelea nawasilisha yafuatayo.

1) Tuseme kwamba January Makamba Alikuwa na pepa feki la Form 4 akashikwa nalo akafutiwa matokeo

Kwahiyo nini kifanyike kwa mawazo yenu nyie? Kwamba matokeo ya Form six na bachelor na Masters yake vyote sio valid? Naomba kusikia maoni yenu basi moving forward.
 
Ilikuaje mtu akubali kurudia mtihani kwa uzembe uliofanywa na NECTA?Kama huna majibu kaa pembeni
ilikuaje Necta wakarudia kusahihisha mitihani mwaka jana? na ilikuaje NECTA kutangaza wanafunzi wa kiislam kufeli somo la DINI wakati sio kweli?
 

Cha kufanya ni wewe kujiuzuru hufai kuwa kiongozi mkuu simple! misingi ya uongozi inaanzia mbali mkuu ndiyo maana tuna usalama wa taifa! ukishakuwa na ka element ka wizi au kufoji hufai kuwa kiongozi
 
Cha kufanya ni wewe kujiuzuru hufai kuwa kiongozi mkuu simple! misingi ya uongozi inaanzia mbali mkuu ndiyo maana tuna usalama wa taifa! ukishakuwa na ka element ka wizi au kufoji hufai kuwa kiongozi

Umesomeka.
 


Baada ya kuonekana udanganyifu na kufutiwa matokeo.ulitumia cheti gani kukuvusha kwenda A'level??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…