Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Source ya CV yake nimeitoa wavuti wa Bunge we yako umeitoa wapi. yaelekea wewe ni mzandiki. Weka vitu vya kueleweka.
 
Ktk siasa yetu Tz hiyo CV inakusaidia nn ...ww .............Unajua CV za Madiwani na Wabunge au Viongozi wa CCM....??? wa Darasa la Saba wangapi.....Ni uwezo wa mtu unamata..na hekima this is bushit .............politics.... Wat about urs....fool ?
 
Hii cv imetoka tovuti ya bunge la wapi au imechakachuliwa. tunaomba utujuze wewe umeipata wapi hii
 
Ktk siasa yetu Tz hiyo CV inakusaidia nn ...ww .............Unajua CV za Madiwani na Wabunge au Viongozi wa CCM....??? wa Darasa la Saba wangapi.....Ni uwezo wa mtu unamata..na hekima this is bushit .............politics.... Wat about urs....fool ?

Atakapotakiwa kwenda kukutana na marais wenzake kabla hajaenda waombe cv yake ataongezea hayo maneneo yako ya "Ni uwezo wa mtu unamata..na hekima"
 
hapa tusiumeume maneno Mbowe Shule hakuna na ninafikiri ni kwakuwa muda mwingi alitumia kujifunza na kuendesha muziki (UDJ) na ukizingatia hapo nyuma tecknolojia ilikuwa duni
 
Umetumea, kujoin tu tareh 13 July 2012 umeleta hii makitu! Huna jipya!
 
No wonder he is the ":flypig😀ISCO JOKER"
 
Haijalishi nimeingia lini jamvini, kama huna hoja kaa kimya. Hapa Jamvini fair play
 
Magamba mnavyotokwa mapovu, kilichobakia ni kuolewa na viongozi wa cdm tu...
 
Haijalishi nimeingia lini jamvini, kama huna hoja kaa kimya. Hapa Jamvini fair play
ha ha ha ha mbona unaogopa kivuli chako? ok angalieni thread ambazo tumejadili sana hilo mnalolianzisha, anyway karibuni jamvini
 
wewe kuwadi wa mabwepande kakojoe ulale kawadanganye huko vijijini mliozoea kuwahonga mataputapu
 
short and clear.
piga kazi kamanda mbowe watanzania wako nyuma yako.
komaa nao hivyohivyo.
ukiona adui yako analalamika jua roba ii sawasawa maungoni ongeza msuli mpaka ukiona yule inzi mkubwa wa rangi ya kijani akizungukia mitaa ya karibu achia kazi imeisha.
 
Mhhhhhhh ukishangaa ya Musa utaona ya firauni. Kumbe jamaa ni mtupu hivyo. Ndo maana hoja zake huwa hazina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…