Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

WanaJF watajuaje kama yupo? Lakini kwa uzi kama huu, jamaa yaelekea ana "mabumba-bumba"

Wateule
Join Date : 17th September 2010
Posts : 12
Rep Power : 397
Likes Received0
Likes Given0

Nashangaa hata akina Ritz, Rejao na masopakyindi wamemtosa. like received 0 given 0
 
Last edited by a moderator:
wale wote uliowaorodhesha hapo juu hawajatoa mchango wowote ktk taifa hili? We huna macho kweli,propaganda za kijinga kama hizo haziwafikishi popote ,hamna lolote nyie wauza sura tu

OOOh punguza mapovu dada...inawezekana kabisa wametoa, ila ni michango HASI inayoendelea kuididimiza taifa hili... Sera za uwekezaji, Sera ya Madini, Ununuzi wa RADAR, ununuzi wa NDEGE ya RAIS tena tukaambiwa ikibidi tule NYASI, EPA, Mmechoma ghala za silaha Gongolamboto na Mbagala ili muendeleze ufisadi bila kujali maisha ya raia...

Hivi yule muuza kota aliekuwa anapeleka suti kufuliwa UK, CFO walikuta trilioni ngapi nyumbani kwake? Ona kina kafumu, kigoda, masele, mkapa, mpungwe wanavyohangaika kuhakikisha TANZANITE ONE inaongezewa mikataba kuendelea kuzoa Tanzanite yetu...talking about CV? we demu vipi? Huoni? au ndo mmefikishwa kwenye ndukumi zetu hamjielewi?....

DHAHABU, URANIUM, ALMASI, TANZANITE, NIKEL, MAKAA YA MAWE, MBUGA ZETU VITALU VYA UWINDAJI, BANDARI, VIWANDA, MAZAO YA BAHARI NA MAZIWA na sasa GAS na ARDHI yenye rutuba kwa kilimo MMEUZA kwa MABASHA ZENU ... Bado unazungumzia CV?...
 
Unachotaka kutwambia hapa ni kuwa Freeman Aikael Mbowe hajasoma, binafsi nikubaliane na wewe kwa mtazamo huu, shule ya huyu mkuu ni ndogo lakini ameweza kufanya mambo as if ni proffesor, hivi ndani ya magamba nani anaweza kufikia walau nusu ya uwezo wa kufikiri, kuruka viuzi na how to creat mambo mapya kama Mbowe? Karibu kila kitu mmnacho kifanya sikuhizi magamba mnatoa kwake, mfano, kupiga kampeni kwa kutumia Chopper, mmetoa kwake, kupokea michango ya kampeni kutoka kwa wapenzi wa chama chake through Techno hama mli copy kwake, mfumo wa kujenga chama kupitia mikutano mme copy kwake (rejea mikutano anayo fanya Nape na ule wa Jangwani).

Zipo habari zilizo zagaa sana mara baada ya uchaguzi mkuu 2005 kwamba magamba wakati huo mliumiza akili sana namna ya kumrubuni huyu bwana na hatimaye makashindwa, mlijaribu kumtumia kijana mmoja alieko CDM kugombea nafasi ya mwenyekiti (sina hakika kama alikuwa anajua au hakujua kuwa anatumika na magamba) ili muharibu chama na vision aliyo kuwa nayo, hilo nalo mlishindwa vibaya, ukweli ni kwamba kabla Mbowe hajawa mwenyekiti wa chama hiki, hakikua tishio hata kidogo kwenu, leo mnaumiza akili sana na mnajilaumu mno. Kwangu mimi ni afadhari elimu ndogo ya Mbowe kuliko vyeti vya akina CHENGE, Kikwete, na maprof and Drs wenu mlionaoa, hawana Vision wala Mission, hivi kama Mwigulu Mchema asingesema mwenyewe kama Ni Master Degree Holder kuna mtu angemdhania kwamba huyu jamaa ni msomi?

Ukiwa na elimu then elimu hiyo isiwe na msaada wowote kwa jamii iliyo kuzunguka, then your education is just a rubbish to me!
 
C.V to me sounds nothing to me , what sounds good is what you have inside your mind. i can make a sweet C.V but empty upstairs. C.V just direct employer to know who you are before Questions you. so to my side C.V are just somebody's words of arrangement
I agree with you kamanda, kama cv zingekuwa na maana sana (japo ipo) kama mleta topic anavyozani basi ccm ya Dr Kikwete isingekuwa kama ilivyo sasa, mtazame anayejiita msomi wa uchumi daraja lakwanza ndugu nchemba, naamini akiweka cv yake hapa itavutia kila mtu sasa sikia anachoongea bungeni, utamhurumia mwalimu wake.
 
Hizi CV za bunge ni null and void ab initio

IT Professionals wa Bunge letu wanatakiwa wajitathimini na kufanya uamuzi wa hekima. Lakini pia wabunge wetu wana CV ambazo si CV hivyo hawapeleki details zao kwa kuwa hazina mashiko!
 
Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1260.jpg
First Name: Freeman
Middle Name:Aikaeli
Last Name:Mbowe
Constituent:Hai
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
Company Name
Bank of TanzaniaBank Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]-[/TD]

Source: Parliament of Tanzania

Acha uhuni nenda ujipange ndiyo uje hapa!
 
Hivi Mbowe hakujiendeleza kielimu kaishia hapo tu?
 
CV, CV, CV..........................watanzania tunaangali UTENDAJI MAKINI, na sio vyeti. Tumechoshwa na wenye vyeti(cv) lkn utendaji mbovu
 
mbowe ana kampuni ya usafirishaji WHITE HORSE ana miliki malori kibao!pia anasaidia kuleta UHURU wa kweli tanzania
 
MwanaJF Rich Dad,

Umeandika kwa kirefu na kwa kina Kuhusu Usalama wa Taifa. Hii inahusianaje na C.V. ya Mheshimiwa Freeman Mbowe?

Freeman Mbowe is one of the most lucid speakers in our Bunge. You could have quoted one of his speeches to back up his C.V. in stead.
 
acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna cv za kina prof majimarefu, lusinde, kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona cv ya mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache watanzania tuwajadili viongozi wetu.

like kwa phone imekuwa janga ndani ya jf ningekugongea mkuu!
 
Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1260.jpg
First Name: Freeman
Middle Name:Aikaeli
Last Name:Mbowe
Constituent:Hai
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location
Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
Company Name
Bank of TanzaniaBank Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]-[/TD]

Source: Parliament of Tanzania

Hakuna CV ya hivi bana,tutolee upumbavu wako hapa,kweli magamba hamna akili kabisa hata kughushi hamjui,kawadanganye magamba wenzio.
 
Mboe ni kichwa cha ukweli .ana busara ,uwezo mkubwa wa kujenga hoja , na ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana.
 
Back
Top Bottom