Matokeo yako ni public?,mbona hatujawahi kuyaona,acha umbea utasutwa.Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
hako kajamaa kanakojidai ni ndugu yake Gwajima kamepewa Rushwa kakaamua kujitia Aibu kubwa, ngoja katapata jawabu Leo Leo hii.ok wew ni sawa na yule lawyer ndugu yake na Gwajima
Kwanza matokeo na vyeti feki ni vitu viwili tofauti, kufoji vyeti ni kosa la jinai na kupata matokeo mabaya si kosa la jinai.wenye shida ya kujua huwa hawaulizi jamii forums, huwa wanakwenda baraza la mitihani kufatilia.....so na ww nenda tu, na njia ya pili mfate mboe mwenyewe umuulize
Sijasema kapata 0...unaona sasa! Mtu mmemjua juzi tu alafu mnatetea vitu vya ajabu! Najua baada ya hapa ni mitusi! Ngoja nikawajibike kwa ajili ya familia yangu na nchi yangu!mim siwez kukutukana ndugu ila naomba nkuulize mbowe O'level alisoma wapi na akapata 0 kama kweli ni ndugu yako?
Wakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.
Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.
Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Ndio nimetoka kwenye uzinduzi wa album ya SGR huko Pugu!Rais kanichanganya sana mpaka nikajiuliza kama phd ni hivi je asingesoma ingekuaje?Wakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.
Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.
Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Pitia wasifu wake katika tovuti ya bunge, alichoweka ndio hicho umuoneshe kijana wako, huna haja ya kuanza kupiga ramli.Wakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.
Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.
Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Ukitaka kujua elimu yake kaa wewe na yeye mjenge hoja utaijua vizuri elimu yake au wewe Byebalilwa google jina lako na lake uone nani ataonekana zaidi au waulize watu katika kujulikana kwako na kwake utajua elimu yake ikoje au tu jilinganishe utajiri ulio nao na yeye au tu pita mtaani na yeye uone nani mwenye heshima na kupewa ulinzi zaidiWakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.
Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.
Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Huyu hana phd feki au cheti cha std 7 kma bashite,hoja zake huwa zimeshiba kuliko mtu mwenye phd hata lumumba fc wanajua hicho ni kichwa adimuWakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.
Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.
Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Kwanini utetezi huu usikubalike kwa makonda piaUkitaka kujua elimu yake kaa wewe na yeye mjenge hoja utaijua vizuri elimu yake au wewe Byebalilwa google jina lako na lake uone nani ataonekana zaidi au waulize watu katika kujulikana kwako na kwake utajua elimu yake ikoje au tu jilinganishe utajiri ulio nao na yeye au tu pita mtaani na yeye uone nani mwenye heshima na kupewa ulinzi zaidi
acha kupotezea. jibuni mbowe kasoma nini? ni form six au kama aliwawi kuona mlango wa chuo kikuu. mnajidai tu kusota kidole Phd za ukweli huku Mbowe hadi leo watu hawajui kiwango cha elimu yakeUnagongwa fatilia PhD feki