Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

DotCom mna matatizo sana miaka ya 1970 - 1980 wanafunzi wengi wa shule za msingi walirudia madarasa na kutumia majina ya "drop-outs" ... wapo wengi tu ambao wamepitia njia hiyo. ...
 
DotComs - Waliorudia madarasa kwenye 80s wengine nI Baba zenu, wajomba zenu, etc na ndiyo wamewafikisha hapo mlipo....
 
Alivyo pata zero, alijiunga chuo gani na zero yake? Tuanzie hapo
 
hivi issue ya conder yaweza kuwa ni kweli maana hatoi ufafanuzi wa hili jambo.
 
Mbowe ametoka wapi unatutoa kwenye reli bwana wacha muvi ieendelea NB:imeingizwa maneno ya kiswahili (imetafsiriwa) na dj gwajima anaaaaakujaaaaa.
 
DotComs - Waliorudia madarasa kwenye 80s wengine nI Baba zenu, wajomba zenu, etc na ndiyo wamewafikisha hapo mlipo....
Unajua nini bro? Tatizo ni kwanini serekali ilianzisha kuhakiki vyeti bro. Hayo ya drop outs sawa tu ila sasa mbona wengine walitumbuliwa kwa shida hii hii na wengine mnatuambia tukae kimya sababu miaka ya 80 ilikuwa ni kitu cha kawaida hicho?

Wala sio kesi, kaka Paul ahakiki vyeti vyake tu mbona atawanyamazisha wote hawa wanaolalamika?
 
Alipata Zero 0 kwa jina linalojulikana kama Freeman Mbowe na alianza nalo toka vidudu lakini huyu kijana wa Misungwi anaejulikana kama David Bashite alizunguka mbuyu akaamua alikimbie jina lake la ubatizo akakwapua la Paul Christian M(muyenga) ila akaamua apachie mdudu anaitwa Makonda kwenye M na akalisainisha mahakamani nao bila kujua kakwapua wakagonga muhuri ila ya mungu mengi na wajanjawajanja huwa wanaumbuka kama hivi
 
DotCom mna matatizo sana miaka ya 1970 - 1980 wanafunzi wengi wa shule za msingi walirudia madarasa na kutumia majina ya "drop-outs" ... wapo wengi tu ambao wamepitia njia hiyo. ...


Daud Ni wakuanzia 1990
 
Kwani Ziro si yake au baada ya kupata ziro aliiba vyeti vya nani? Ukipata ziro ndio unaruhusiwa kufoji vyeti? Mbona serikali hii hii ilkagua vyeti vya watumishi na wenye vyeti feki waliondoka, ugumu wa huyu kuthibitisha uhalali wa vyeti vyake ni upi? Ziro ni matokeo tu, mbaya ni kupata ziro na kufoji cheti.
 
Huna haja ya kumkingia kifua huyo bashite utaumia tu
 
Mambo ya Mbowe ni kwenye chama chake
 
Mbona wabunge vilaza wako kibao bungeni mle mpk wa darasa la 7 hamsemi na bado ni viongoz wa wananchi ktk majimbo yao? uongozi ni kipaji na karama toka kwa JAH na sio vyeti vilvotakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…