Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Baavichaa wapo wapi waje waiweke CV yake humu maana wao wapo bize kudai CV za akina mwigulu,makonda,JPM,Ndarichako et.ell

Vijizi vya pale Lumumber mnashindwa vipi kuleta CV ya Mbowe ?
 
Elimu yako nawe itakuwa na mashaka.. Nalichomaanisha hapo ni Mtei hausiki na uajiri wa Mbowe BOT maana Mbowe akiwa mfanyakazi hapo Mtei alishaondokaga miaka mingi
Mtei alikuwa waziri wa fedha...kumbuka Makani kaowa dadake Mtei...kuna ushemeje hapo.
 
Kupatwa kwa elimu ya Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23]. Na watetezi wanatoka mapovu balaa duh!

Mleta thread - mtafute executive assistant wa Mbowe naamini atakuwa na majibu sahihi. Yumo humu JF na ni verified user. Jina lake ni Ben Saanane. Fanya hivyo halafu utuletee mrejesho.
 
Vipi ya yule msemaji wa chama Ole Sendeka historian ya Shule nasikia MKUU alipata division 1
 
Sifa za kugombea urais tz uwe na elimu ya chuo kikuu mbowe alishagombea kama sijakosea tunahojije tena elimu yake
 
Majibu ya hii thread ni rahisi sana.

(1) Primary Mbowe alisoma _________

(2) O'level Mbowe alisoma ___________

(3) High Level Mbowe alisoma _______

(4) Chuo Mbowe alisoma ____________

Mjadala huu ungekuwa umekwisha muda mrefu sana.
 
Elimu yako nawe itakuwa na mashaka.. Nalichomaanisha hapo ni Mtei hausiki na uajiri wa Mbowe BOT maana Mbowe akiwa mfanyakazi hapo Mtei alishaondokaga miaka mingi
Hapa swali ni elimu ya Mbowe mkuu acha kuzunguuka kutafuta vitu tofauti na hoja ya msingi.Unalo jibu litoe,huna subiri wenye nalo,Anzia elimu ya msingi mpaka mwisho huko kwenye ajira tutaleta uzi humu,mleta mada alimaanisha huyu mbow alipataje kazi BOT wakati hata elimu yake haijulikani,nina mashaka na elimu yako kama Mbowe.
 
[QUOTEkusoma name kuandikam, post: 18705821, member: 206115"]hivi ubunge unahitaji elimu ya darasa la ngapi...kama ni darasa la saba basi katibu wa bunge awajibishwe kwa kushindwa kumfukuza bungeni mbunge ambaye hajawahi kusoma popote....nb pia shame on wabunge wasomi kama tundu na wengine kukubali kuongozwa ndani ya chama na bungeni na mtu ambaye elimu yake ina mashaka....[/QUOTE]
 
Mkuu samahani nimewapa mfano wa kujaza hayo maswali,mwenye jibu afute ajaze hivyo vipengele hapo juu huo hapo ni mfano,mkimaliza mjaze na vya Lema kwa mtiririko huo afu mmalizie na Tundu Lissu star wenu!
 
Napenda kujuzwa na wataalamu wa masuala ya sheria ukiwemo wewe Samwel N Magoiga; my school mate(Mkwawa High School): Mbowe aligombea urais 2005 kwa tiketi ya CHADEMA na sheria ya uchaguzi inamtaka mgombea wa kiti cha urais awe na Elimu ya kuanzia Shahada ya Kwanza.

Swali ni: Kama elimu yake haieleweki aliwezaje kujipenyeza na kugombea nafasi hiyo kubwa nchini? Je, tume ya judge aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alimbeba? Na kama alibebwa vipi vyama husika havikuweza kumwekea pingamizi la uchaguzi?

"Magoiga SN majibu Tafadhali "
 
Napenda kujuzwa na wataalamu wa masuala ya sheria ukiwemo wewe Samwel N Magoiga; my school mate: Mbowe aligombea urais 2005 kwa tiketi ya CHADEMA na sheria ya uchaguzi inamtaka mgombea wa kiti cha urais awe na Elimu ya kuanzia Shahada ya Kwanza.

Swali ni: Kama elimu yake haieleweki aliwezaje kujipenyeza na kugombea nafasi hiyo kubwa nchini? Je, tume ya judge aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alimbeba? Na kama alibebwa vipi vyama husika havikuweza kumwekea pingamizi la uchaguzi?

"Magoiga SN majibu Tafadhali "
 
Nini lengo lako hasa? Je elimu yake inasaidia nini katika maisha ya leo?
Ni haki kujua. Na ndiyo maana hata kina mwigulu chemba wanaulizwa. Kama hujui bora utulie kuliko kujidhalilisha mwanaume
 

Hakuna sheria ya mgombea urais kuwa na shahada kwenye katiba ya nchi na haijawahi kuwepo.

Mtakuwa mnalishana matango pori tu sababu hayo mambo ya degree yalikuwa kwenye rasmu ya katiba mwaka jana.

Kasome katiba ya JMT ya 1977 kifungu cha 39(1) sifa za kugomvea urais ziko pale hakuna degree wala certificate bali ujue kusoma na kuandika kama ilivyo kwa wabunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…