Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wana Jf,

Kama Kuna mwenye taarifa Za Elimu / Taaluma kuhusu viongozi wetu wa UKAWA kuanzia Mwenyekiti hadi viongozi nafasi Za chini Karibu tujadiliane.
LENGO ni kuanza kujihakiki wenyewe mapema na kutengeneza misingi bora kwa viongozi wetu wa hapo baadae.
 
Wana Jf,

Kama Kuna kwenye taarifa Za elimu / taaluma Za viongozi wetu wa UKAWA kuanzia Mwenyekiti hadi viongozi nafasi Za chini Karibu tujadiliane.
LENGO ni kuanza kujihakiki wenyewe mapema na kutengeneza misingi bora kwa viongozi wetu wa hapo baadae.
Hapa lazima watu wakae kimya!!!!
 
Huu uzi hauwezi kua na wachangiaji wengi.. elimu zao za kuunga unga na bado ni tata kwiikwiiikwii
 
Unakumbuka matumizi ya taaluma za Chenge, Karamagi na Prof.Anna Tibaijuka
 
Unakumbuka matumizi ya taaluma za Chenge, Karamagi na Prof.Anna Tiba, Dr. Shukuru Kawambwa?
 
Wanajamvi salama?

Nimekuwa na TAFAKARI kuhusu CV ya M/kiti wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) na nikajaribu kujiuliza wafuasi wake wanajifunza nini kupitia CV hiyo iliyokosa maelezo ya elimu yake.

MBOWE CV.jpg


Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ni nimeona wanachama wake wengi wamekosa uhuru wa kutambua/kujua elimu ya mwenyekiti wao wa chama.

Hali hii imetokea kabla na hata baada ya Freeman Mbowe kutambua kwamba wanachama wake wanahitaji CV yake ili kuondoa sitofahamu iliyopo kuhusu Elimu ya mwenyekiti huyo wa CHADEMA.

Tujikumbushe kipindi Zitto Kabwe alivyokuwa CHADEMA alijaribu kuhoji kuhusu mambo mbalimbali pamoja na hili la elimu ya huyu Mwenyekiti Freeman MBOWE, chakushangaza wengi Zitto Kabwe alipewa cheo cha Usaliti baada ya kutaka kujua elimu sahihi ya Mbowe na cheo alichopatiwa na Mzee Mtei,suala ambalo lilipelekea kufukuzwa uwanachama na kuanzisha chama chake cha ACT-Wazalendo.

Sasa wanachadema nawaomba mnisaidie kupata CV ya Mbowe iliyokamilika na maelezo ya kutosha kuhusu mnachojifunza kupitia CV hiyo, je? anastahiki kuongoza chama hiko na kututengenezea rais wa nchi kupitia Chadema!.
MBOWE CV2.png



Nawasilisha swali kwa wanachadema.
 
Mwenyekiti wako yuko Kenya huko anatembea kwa mguu kwenda kwenye kaburi la Kenyatta
 
Back
Top Bottom