Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Jamaa alipata Sufuri kabisa kidato cha sita..na hapo alikuwa ana piga chabo!
 
Zero unaindikaje kwa KUB na kiongozi wa vyama vitano vya upinzani nchini ni aibu kwa taifa kuwa na mbadala wa waziri mkuu mjinga aliyepata division zero shuleni:

niabu kwa wanachadema wanajiona wasomi huku wakiongozwa na mjinga aliyepata sifuri shuleni eti ataleta mabadiliko.

Ni upuuzi kwa vijana wa ukawa kumtaja mbunge aliyepata division four huku wao wakiongozwa na mwenye zero
 
Naona nyumbu kutoka Lumumba leo posho imetoka.
Tafuteni kazi za kufanya mtakuja kulia nyie! Juzi ijumaa nimepita hapo ofisi ndogo nimeona jamaa wamekauka midomo wengine wanakunywa kahawa saa nane mchana eti inakata njaa!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Watanzania tumerogwa na elimu za darasani,Mimi nadhani ni tunapaswa kuangalia ,what they deliver?sasa ndio uongelee kuhusu Mbowe,yawezekana hajasoma sana,sijui!!!lakini nachojua anakitu kichwani tofauti na yule dada
 
Acheni madharau aisee. Yule jombaa kichwa. Enzi zile alikuwa akikamata santuri pale Billcanas ili full majoto hakuna kusanda!

Saa hii anakimbiza mbaya na soon ataanza uimarishaji wa chama mikoa yote.

Kusomeana CV ni kuchojoana manguo kwa hadhara, tumpime kwa utendaji
 
Sio ya Mbowe tu hata ya yule Upendo peneza aliyetaka kupunguwa miaka ya kusoma udaktari nayo ni empty
 
Bavicha ya sasa ni wazungusha mikono tu
 
Bavicha wameanzisha vita ya mawe wakati wana nyumba za vioo kwi kwi kwi
 
Jamaa pamoja na kuwa alipata ziro form six lakini namsifia sana kuweza kawongoza nyumbu wengi tu, hawana ujanja kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…