We ni mvulana au mwanaume mkuu?Habari za kazi wadau wenzangu wa JF kutokana kichwa cha habar hpo juu mimi ni kijana wa ksrne ya 20 lakin kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nmeshindwa kulipatia ufumbuz juu ya kwamba kila nikikutana na mschana mzuri nakua namuogopa yan i donno why mpaka inakua hivyo
Naomben ushaur jaman wadau pamoja na nyie warembo wote bambieni kwamba labda hus mmejipanga kutisha watu kama mm au ni vp
DuhHujui kuandika tumesitisha Kwanza Uzi wako mpaka ufanyiwe uchunguzi hiko cheti chako ulikipataje pataje
Na Mishahara Yao Ishushwe Asiyetaka Aache KaziHujui kuandika tumesitisha Kwanza Uzi wako mpaka ufanyiwe uchunguzi hiko cheti chako ulikipataje pataje
Ww macho yako mbona mazurii hvyoo afu unasema sura ya Baba tna....? Au picha ya profilr c yako....?Vipi sisi wenye sura za baba au babu zetu?
Naona ufanye jambo rahisii mkuu. Kula ugali wa kutosha upate nguvu maan wendaa njaa ndo inayokusumbuaHabari za kazi wadau wenzangu wa JF
Kutokana kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana wa karne ya 20 lakini kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nimeshindwa kulipatia ufumbuzi juu ya kwamba kila nikikutana na msichana mzuri nakua namuogopa yaani i donno why mpaka inakua hivyo.
Naombeni ushauri jamani wadau pamoja na nyie warembo wote nambieni kwamba labda hua mmejipanga kutisha watu kama mimi au ni vipi.
Amesema i donno[emoji3][emoji3]Hujui kuandika tumesitisha Kwanza Uzi wako mpaka ufanyiwe uchunguzi hiko cheti chako ulikipataje pataje
Waandikie barua [emoji23]Habari za kazi wadau wenzangu wa JF
Kutokana kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana wa karne ya 20 lakini kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nimeshindwa kulipatia ufumbuzi juu ya kwamba kila nikikutana na msichana mzuri nakua namuogopa yaani i donno why mpaka inakua hivyo.
Naombeni ushauri jamani wadau pamoja na nyie warembo wote nambieni kwamba labda hua mmejipanga kutisha watu kama mimi au ni vipi.
hahahhahahahahahaha,Punguza muku. Anza na mabaamedi kujipa uzoefu, kisha nenda mabeki tatu mpaka utakapofuzu AFCON kuja kula watoto wazuri.
Habari za kazi wadau wenzangu wa JF
Kutokana kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana wa karne ya 20 lakini kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nimeshindwa kulipatia ufumbuzi juu ya kwamba kila nikikutana na msichana mzuri nakua namuogopa yaani i donno why mpaka inakua hivyo.
Naombeni ushauri jamani wadau pamoja na nyie warembo wote nambieni kwamba labda hua mmejipanga kutisha watu kama mimi au ni vipi.
Embu kamtongoze dada mmoja wa pale crdb ili upate uzoefuHabari za kazi wadau wenzangu wa JF