kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
Siamini hata kidogo kuwa CIA ni Boko haram
Wewe si bwe.e umekariri
Siamini hata kidogo kuwa CIA ni Boko haram
Ni wiki ya pili sasa tangu wanamgambo wa Boko haram wavamie shule na kutoweka na wanafunzi wa kike zaidi ya 223. Mpaka sasa haijulikani kama wanafunzi hao wako hai au laa. Sasa swala kujiuliza: Ile ndege ya malaysia ilipotoweka ikiwa na abiria zaidi ya 200 tuliona dunia nzima ime react, ikijitolea kwa hali na mali,na sasa wamehamua kuitafuta kwa mwaka mmoja Mwaka 1 kuitafuta ndege ya Malaysia - BBC Swahili - Habari. Lakini kwa hili tukio la Nigeria hatuoni hata kama tukio limetiliwa umuhimu katika vyombo vya habari. Humu duniani inaonekana kuna double standard. Mimi nilitegemea vyombo vya kipelelezi na majeshi kadhaa wangeisha kwenda Nigeria ili kuweka nguvu katika kuokoa hao watoto. Huko waliko haijulikana kama kweli wanapewa chakula maana ni wengi kuwalisha katika maficho, au wameuawa na kuzikwa kwenye kaburi la pamoja, haijulikana. Very sad
CIA ndio boko haram na kamwe hutasikia mission zao zikikwama mpaka mafuta yaishe! Wanaifanya serikali kuwa bussy kupambana na hicho kikundi halafu wao wanachota mafuta. Ndio maana huko nigeria wamebatizwa jina la boko CIA haram. Wanafanya watakavyo jiulize nguvu na siraha wanazipata wapi
Aisee, Al queda ni CIA, Boko haram ni CIA. Tired of street stories, evidence please
Wewe si bwe.e umekariri
How stupid person are you?
Unamfahamu Osama Bin Laden?
Kama unajua kiingereza hii link (Video) itakusaidia kujua kisa cha uhasama wa osama na marekani. Anaeleza kila kitu, uachane na story za vijiwe https://www.youtube.com/watch?v=dqQwnqjA-6w&list=PLZ0YxCm5qq-f73x7s7oCWZqhb0VuuLmYX
marekani wametoa msaada wa kuwatafuta hao watoto
source itv