Wasichana wasichana ugali tu

kwani kupika mpaka ujue ugali? wote mnatakiwa mjue kupika sy mke tu acha ukandamizaji mke akiumwa unakula wapi?
 
wanaume bana!..
mnataka mwanamke awe mjuzi kunako chumbani
afahamu mapishi mbalimbali
awe msafi nyanja zote--asiachie housegal kufua nguo za mumewe
ajishughulishe..kipato nacho kimekua muhimu sana siku hizi
ajue kuwaheshimu,kuwanyenyekea
na mengine mengi..mnataka yote hayo,na yakipungua mnalalamika ''wanawake wa siku hizi''
hizo jitihada za kufanya hayo wanawake wanazifanya sana,lakini hamridhiki tuu
yani kikipungua kimoja tu apo mtalalamika wee,ivi nyie mnafanya jitihada zipi kua wakamilifu kwa hao mnaowapenda?
 
ha ha ha ha acheni uongo wadada wa mjini wanajua sana kupika ugali tatizo mda wajameni na sisi wadada tumekuwa watafutaji
 
mfundishe atajua........!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…