Wasichana /Wanawake wenzangu

Duhh! hadi mbadilishwe na wanaume mmekuwa boxer!!? Watu wazima na mnajitambua mnasubiri kubadilishwa? Aisee
Yeah nikweli mwanamke hubadilushwa na mwanaume alienae. hata kama huyo mwanamke awe mtata kiasi gani mwanaume akisimamia shoo anakua mtiifu na anatekeleza asemayo mwanaume
 
Hivi hujawahi kuona mwanaume amekosa na bado anataka wewe mwanamke uombe msamaha sasa huo nao ni utii au utumwa ndani ya ndoa
 
Hasa hapo kwa chakula cha usiku wajitafakari vizuri maana wakibana tu ndipo mwanzo wa kujitengenezea uke wenza utakaowagharimu sononeko la moyoni
Weeeeeeee tugombane kooooote hapo sitaki masihara aseee yaani.. Kama ni kuniadhibu Wee niadhibie hapo tu adhibu unavotaka walaaaa sitalalamika
 
Hivi hujawahi kuona mwanaume amekosa na bado anataka wewe mwanamke uombe msamaha sasa huo nao ni utii au utumwa ndani ya ndoa
Ndo wanapenda hivo wanaume utii uliopitiliza huo. Weee wala usibishane nae omba msamaha yaishe
 
Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ina maana hakuna wa ivyo?
 
Point #10 cjaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…