Hawapotei bana ni dili tu, tena iyo dili wanaipanga hao wadada wenyewe. Ukikuwa nao gesti wanakwambia acha nijipakazie nimetekewa ili tupate uhuru wa siku mbili tatu. Wanawake bana!Kila kikicha kwenye TV,redio na magazeti kunakuwa na taarifa ya wasichana wa kuanzia miaka 16-19 wanaotangazwa kupotea kwao au kutokuonekana kwa muda hivyo wazazi na ndugu kulazimika kuomba msaada wa umaa kama wamewaona na picha zao kuchapishwa.
Huwa najiuliza hivi hawa wamepotea au wameangukia mikononi mwa waharibibu ambao wamewaficha sehemu.
Nahisi wewe ni mmoja wao waharibifu lol!Hawapotei bana ni dili tu, tena iyo dili wanaipanga hao wadada wenyewe. Ukikuwa nao gesti wanakwambia acha nijipakazie nimetekewa ili tupate uhuru wa siku mbili tatu. Wanawake bana!
Mambo sis,sasa si wamalize shule kwanza mbona wanaharaka hivyo na pia shida wanayowapa wazazi.hao wanakuwaga wameolewa....hakuna kitu kupotea hapo.....
Hahaha! Kabakabana mbona hajafikia umama jamani bado yuko kwenye twenties lol!Mzee Uporoto kabla hujatoa kibanzi machoni kwa mwenzio, anza na chako kwanza.
Kuhusu uharibifu si ungeanza kumlaumu lile jibonge mama liliokuficha wewe? (Source Katavi's Sread )
hehehe kamanda hapo ulipo pengine umemficha mmoja. Umeanzisha hii sredi ili kucheki jamii inalichukuliaje tu hili suala. Uporoto banaNahisi wewe ni mmoja wao waharibifu lol!
Mambo sis,sasa si wamalize shule kwanza mbona wanaharaka hivyo na pia shida wanayowapa wazazi.
Hahaha! Kabakabana mbona hajafikia umama jamani bado yuko kwenye twenties lol!
Kapo kamoja hapa kazini nazani kana huyo mdudu, samtaimu kanalia lia bure bila msiba, ukikashika bega tu kanaacha kulia kanasmile na kanajifanya kukushukuru kwa kiingereza.unajua bro...kuna umri binti akifika anapata mdudu wa kichwa kama yule wa kondoo...si unamjua..? basi ndio hivyo....
Kwa kawaida anda twente huwa siongei nao kabisaa,kuna gelfrendi wangu alikuwa anawaita vinuka mkojo lol!hehehe kamanda hapo ulipo pengine umemficha mmoja. Umeanzisha hii sredi ili kucheki jamii inalichukuliaje tu hili suala. Uporoto bana
Nawaonea huruma wazazi.unajua bro...kuna umri binti akifika anapata mdudu wa kichwa kama yule wa kondoo...si unamjua..? basi ndio hivyo....
Kamanda si kuna siku nilikufuma unakatiza salenda na lulu? Unauza CD feki uporoto banaKwa kawaida unda twente huwa siongei nao kabisaa,kuna gelfrendi wangu alikuwa anawaita vinuka mkojo lol!
Huyo husninyo ni member hapa Jei Efu ?Judgement anamzungumzia mkeo husninyo sio kabakabana!
Lol ..... hehehehe Dah!Huyo husninyo ni member hapa Jei Efu ?
Hahaha! una kumbukumbu kweli mkuu,Lulu alikuwa anapiga picha za kutumika kwenye matangazo ya ofisi yetu, lakini Lulu si alitutangangazia kuwa sio mtoto tena kafikisha 18 na maombi yanakaribishwa ?Kamanda si kuna siku nilikufuma unakatiza salenda na lulu? Unauza CD feki uporoto bana
Huyo husninyo ni member hapa Jei Efu ?
Khaaa, hahahaha! Jamani shemu ni wewe au naota....lol..Huyo husninyo ni member hapa Jei Efu ?