Wasichana wadogo ni shida

sasa huyo jamaa yako alikuwa anadhani mtoto wa form two atakuwa mkubwa kama mkewe???!!! kitendo cha kwenda kumfuata tu kaonyesha yeye ni paedophile.
Na iweje atume 5000 badala ya 500 iliyotumwa kimakosa khaaaa? Hawa watu wazima n wakuda San na wanapenda kweli kuruka ukuta. Wanawarubuni hovyo watoto wadogo kwa vijisenti vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Message sent and delivered [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…