Wasichana wadogo ni shida

Labda aombe ushauri kwa Lulu, umri na body weight kwake sio ishu as long as na wallet ina ukubwa huohuo.
 
Kila nikiwatazama mabinti wa leo na nikiutazama ulimwengu ulivyochafuka nabaki najiuliza kuwa wataponea wapi......namwachia mwenyezi awasimamie maana hali ni zaidi ya mbaya......
 
SHISasa shida iko wapi hapo? Hawa wote wawili ni vicheche waliokubuhuu isipokuwa siku hiyo wote wameshtukiana.
 
Huyo msichana alikua na miaka mingapi? Kama shida wazee na mimama kibao wamejaa
 
Kila nikiwatazama mabinti wa leo na nikiutazama ulimwengu ulivyochafuka nabaki najiuliza kuwa wataponea wapi......namwachia mwenyezi awasimamie maana hali ni zaidi ya mbaya......

Hata wazee wenyewe sikuhizi wanapenda ndogondogo! Unakuta limtu linaelekea 40 huko but liko bize na tubinti twa kumi na kitu
 
belie kwanini ulimkimbia uncle?
 
Last edited by a moderator:
Hata wazee wenyewe sikuhizi wanapenda ndogondogo! Unakuta limtu linaelekea 40 huko but liko bize na tubinti twa kumi na kitu

Yaani inasikitisha sana, lakini nampongeza bint kwa kukimbia, hata kama ni kicheche basi abenjuane na watoto wenzie.
 

Kwa hiyo alivyoambiwa kuwa yupo form 2 akafikiri ni mkubwa vipi?
Alafu huyo mtoto malaya tu, ame mdisi jamaa kwa ajili ya hoah, alafu anasingizia umri. Jamaa angekuwa mbabu alafu akaja na GX mtoto wala asingeangalia umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…