Wasichana wa Pakistani siku hizi...

Wasichana wa Pakistani siku hizi...

Status
Not open for further replies.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

18808_10155309748410234_4372177946450754943_n.jpg
 
tangu wakiwa wadogo hadi watu wazima wanawake wa huko utafikiri mazombie, yaani wanafungiwa ndani kama vile makuku ya kisasa. tamaduni zingine hazina faida kabisa aisee. waangalie tu hata nyuso zao unaona wakoje?
 
Acha kukufuru mkuu kwani we umejiumba?
 
tangu wakiwa wadogo hadi watu wazima wanawake wa huko utafikiri mazombie, yaani wanafungiwa ndani kama vile makuku ya kisasa. tamaduni zingine hazina faida kabisa aisee. waangalie tu hata nyuso zao unaona wakoje?

Kadri siku zinavyokwenda mambo yanabadilika, hata kwenye olympics games kulikuwa na wasichana kutoka huko.
 
ukimfungia sana binadamu ndani appearance hadi akili inabadilika. hao wanafundishwa kufungiwa ndani kwa imani yao hawatakiwi kuwa huru kama mtoto wako wewe wa hapa dsm. pia wanapigwa sana fimbo na kulazimishwa masomo ya madrassa, elimu kichwani hamna wanachosubiri ni kukua wafikie miaka 12 waozeshwe. hata mama zao ni kama mazombie vile ndio maana akili kumkichwa hamna anakubali kuwa na wake wenza hata watatu kwa mwanaume mmoja. kwa mtu mwenye akili timamu, inakuja kichwani hiyo?ni lazima akili ichomolewe kwanza ndio awe sahihi kiiimani yao.
 
tangu wakiwa wadogo hadi watu wazima wanawake wa huko utafikiri mazombie, yaani wanafungiwa ndani kama vile makuku ya kisasa. tamaduni zingine hazina faida kabisa aisee. waangalie tu hata nyuso zao unaona wakoje?
weka sura yako hapa tuione,umelelewa kwenye bar na kumbi za disco ndiyo unajiona una uhuru siyo?
 
tangu wakiwa wadogo hadi watu wazima wanawake wa huko utafikiri mazombie, yaani wanafungiwa ndani kama vile makuku ya kisasa. tamaduni zingine hazina faida kabisa aisee. waangalie tu hata nyuso zao unaona wakoje?

Nini maama ya mazombie?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Not at all with an exception of calling others Kafir- a derogatory term not friendly to anybody not belonging to that class of believers! Tuishie hapo yasizuke mabishano ya kashifa.
karibu Paska!
 
Failure of man to solve his problems on earth he seeks some solution in super natural powers, hence the question of GOD
Kabisa...kuna watu wanadharau sana...nilikosea kukuquote mwanzo ndo maana nimefuta msg!Sielewi binaadamu gani ana possession ya kumfananisha mwanaadamu mwenzie na zombie?
 
Kadri siku zinavyokwenda mambo yanabadilika, hata kwenye olympics games kulikuwa na wasichana kutoka huko.
Ni vyema sana wanajichanganya mpaka kwenye oplympics...Hijab isiwe chanzo cha watu wasijichanganye!!!
 
Kabisa...kuna watu wanadharau sana...nilikosea kukuquote mwanzo ndo maana nimefuta msg!Sielewi binaadamu gani ana possession ya kumfananisha mwanaadamu mwenzie na zombie?

Asante sana. Mimi ni hapo tu, kuwadharau wengine kama sio wote tumeumbwa na huyo Mungu. Just imagine hata ukiwa una rafiki wa kike, (ashukumu si matusi) when engaging in sex, lazima ateme mate akisema astaghafulla ( sina ukakia na spelling), asamehewe kwa kulala na kitu kisichstahili kulala na wa dini yake
 
Hao walio huru wameleta tija gani,watoto wa kitanzania hapa tunaona,mabint wadogo tu wanaharibikiwa kwa uhuru usio na mipaka from household levo
 
Ndiyo dini yangu ni ile inayotoa uhuru na haki kwa binadamu kama kuvaa vimini,matiti mapaja nje nje,na sasa tumeamua kufungisha ndoa za jinsia moja ktk nyumba zetu za ibada

Al shabau, Boko haram, mapango ya amboni, etc, etc, etc na wanawake 72 peponi- mwanamke ni kiburudisho!!!!!!!!!!!!
 
Asante sana. Mimi ni hapo tu, kuwadharau wengine kama sio wote tumeumbwa na huyo Mungu. Just imagine hata ukiwa una rafiki wa kike, (ashukumu si matusi) when engaging in sex, lazima ateme mate akisema astaghafulla ( sina ukakia na spelling), asamehewe kwa kulala na kitu kisichstahili kulala na wa dini yake

Binadam wanaoongoza kwa dharau na ukatili duniani ni waarabu...jiulize wale waafrika waliosambaa duniani kama watumwa kwanini walifutika kwa nchi za waarabu..waliwapeleka wapi
 
Swali zuri sana. Hivi kweli kwa nini uarabuni hakuna waafrika masalia kama ilivyo marekeni, uingereza etc. Waarabu makatili, huku kwetu sasa wanafanya nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom