Wasichana wa kipare

Jamani nakuombeni msaada wenu. Kuna jamaa yangu kaniulizia habari za mabinti wa kipare baada ya kusoma za wasichana wa kichaga. Sasa yeye lengo lake ni kujua tu labda mambo muhimu kama sifa zao hawa wapare kama wake. Je wanastahimili hali ya uanamke ndani ya nyumba au nimemshauri akaangalie kwingine

Tuwe fair. Last time nilimshauri rafiki yangu mmoja kuwa akiangalia sana sura anaweza kwenda kuwaoa wairaqw lakini ajiandae kwa kuteswa na mke kwakuwa wale jamaa nje wanaachia sana.

Best

halfu wewe jamaa m nakuchora tu hapa ..sio fresh kuja hapa na kuanza kuchambua makabila ya mwatu ..wewe hujui tabia za watu zinatofautiana na mapenzi hayajali kabila wala dini
 
Wakarimu, Wasafi, Wana Heshima, Wapenda maendeleo, Wachapa Kazi, Wavumilivu, Wapole.........:welcome:
 
Mkuu mwambie kuwa suala na tabia za awanawake ni la mtu mmojammoja na ni ngumu kugeneralize!
 
Mnaosema ni maharage ya mbeya,nyie ni ya wapi jamani?!lol..kaz kugeneralize tu,if mlikosewa na wenu,suck it up!
 
Wanaodai watu wa Tanga washirikina kwa mambo ya mapenzi,waliwasahau hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom