Wasichana wa kindamba

COMRADE 07

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
337
Reaction score
151
Habari zenu wadau,napenda kufahamu sifa za wasichana wa kindamba,maana kuna mmoja nataka kuanzisha mahusiano nae ya kimapenz..Nitashukuru kwa msaada wenu
 
wanatoka morogoro,wilaya ya kilombero na Ulanga
 
Wanaitikadi za vidumu katika ndoa, wanaitikadi za limbwata, wanaan( ngono wakiwa wadogo sana, ila wanajua....
 
hawa sifa yao kuu ni kupenda kula samaki...nasikiaga wanaweza mtia samaki mzima mzima mdomoni kisha miba wanachambulia humo humo mdomoni......

kwa hiyo hawabirui birui samaki mzima mzima hawa kweli nouma aisee
 
Kuna mbaba mmoja wa kindamba alinipa chache za kwao na alisema asingemshauri mwanae aoe mdada wa kindamba. Lkn hao ni old school waliokulia huko kilombero, lkn kwa mazingira ya sasa na magonjwa watakuwa wamebadilika natumai.
 
Wanalima haooo,ukipika ugali usiku utakula mwenyewe.Any way Mngeta-Mchombe,Mbingu nk wapo poa sana.Tonge na ngodoi,tonge na ngodoi mchuzi haaaa.Mlamu kalia ndili.
 
hawa sifa yao kuu ni kupenda kula samaki...nasikiaga wanaweza mtia samaki mzima mzima mdomoni kisha miba wanachambulia humo humo mdomoni......

Fiksi yako nimeikubali...
Sasa tuma salam kwa watu wawili na nusu.
 
Fiksi yako nimeikubali...
Sasa tuma salam kwa watu wawili na nusu.

natuma salamu kwa TANMO akiwa humu humu jf....namchagua kibao cha ngololo kilichoimbwa na daidomo......ujumbe kila munu awe na kwao...
 
Last edited by a moderator:
Kabila la Wandamba lipo pia watanzania lazima mjue kuwa kuna makabila zaidi ya 128
Je wandendeule ? Unawezasema sio kabila !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…