Hata Tanzania unaweza kubaguliwa, inategemea na mtu mwenyewe ulivo.
Inategemea na mtu mwenyewe ulivo, na sifa mbaya ya ile kabila ulio tokea.
Na waafrika wengi wanamatendo yasio mazuri, waongo, wezi, matapeli nk.
Na rafiki yangu akilalamika anabaguliwa na wazungu na kutukanwa.
Nilipo mzoea nikajua kua anatabia ya wizi, kujithaminisha, uongo, ukahaba, na maringo, nikagundua ndio maana wanambagua.
Mwisho mpaka na mimi nikaanza kumbagua.
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.