Wasichana wa Kichina

Tulia kibaravumba, melanin ni muhimu, bila hio haungeweza kuishi Africa, Wanzungu na wale ambao hawana melanin (inakupa rangi nyeusi ) wanaitamani iliwaweze kujianika kwenye jua bila kuwa na hatari ya kupata saratani ya ngozi ndiposa wanatumia sunsreen na mashini ya ku-tone ngozi zao.

Ili Africa iheshimiwe na dunia ni lazima tujenge Africa.
 
Inasikitisha nn mkuu, kulaaniwa na Mungu tunaemwabudu through laana ya Nuhu aliekuwa kalewa au,

Me naona tusisikitike, take it as changamoto, blackmen should make our homes a good place to live, respect will follow.
 
Ninavyoona mimi, mwandishi wa makala hii anaitwa Njonjo Mfaune, Slim5 kaicopy kutoka gazeti la Raiamwema na kuibandika hapa ili tuisome.

pitia huo uzi wa huyo ndg mwanzo mpaka mwisho,acha kukurupuka
 
Baseless points, unapayuka mastusi ambayo yanamhusu mwanaadamu (umetukana wazazi wote) matusi ni ibadaa kwako.
Kwa uislam wako dhahili hebu onesha tusi lolote nililo andika hapo na ukikosa basi uislam ni taasisi inayofundisha watu kusema uongo na ni taasisi ya ugaidi na watu wasiofahamu kitu zaidi ya kubuni buni tu maneno na ushabiki.... mtume wenu anastahili adhabu ya moto wa milele kwa kuwapotosheni na upotoshaji wake unaendelea kuwafikia vizazi vinavyozaliwa.... mmekuwa hamjui mnachokiongea kwa sababu ya mafundisho ya Allah na muhammed...
 
Asante FYI, Kazi ya Mungu haina makosa Mungu anaumba atakavyo !!!! wewe endelea na kunitukana.
 

Mkuu hawa jamaa reasoning yao ni ndogo sana kwa ajili ya kukosa exposure. Kuna dogo wetu mmoja aliulizwa hivi na wewe damu yako ni nyekundu? Dogo akamwambia sisi hatuna damu ni maji tu.
 
Well behaved !!
 
hivi kwanini unaquote uzi mzima watu tushasoma uzi hivo we comment tu tutaelewa

Usinilazimishe kuandika chochote kama unavyotaka wewe!! humu ndani ni uhuru wa kujieleza ukiona huwezi soma herufi zangu samarise zako na usome! wenye kutaka kusoma zangu wamesha like kama ninavyopenda kusoma zao!
 
Mkuu hawa jamaa reasoning yao ni ndogo sana kwa ajili ya kukosa exposure. Kuna dogo wetu mmoja aliulizwa hivi na wewe damu yako ni nyekundu? Dogo akamwambia sisi hatuna damu ni maji tu.

alimpatia sana kwa jibu hilo,ndio dawa hiyo the same applied kwa wazungu wakituambia sisi manyani na sisi tunawaambia wao manguruwe wakimwaga ugali na sisis tunamwaga mboga
 
Rudini makwenu la sivyo mtabaguliwa miaka Mia.
Nalog off

wao mbona hawarudi makwaotupo na leo miaka kenda,maisha popote bana.by the way ni bora tuwafuate wapate kutujua na kuelewa info zetu tofauti na wanavyodanganyana hivyo eti wnafikiri tunaishi maporini na wanyama,mara wengine wanajua afrika nzima ni vita tu hamna sehemu yenye amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…