Wasichana wa Kichina

Hakuna wanaoongoza kwa ubaguzi kama waislamu binadamu mwenzio huwezi kumuita kafir kisa siyo muislamu.
 
So it's OK wewe ubague ila ukibaguliwa ni issue..akili za Matope!

binadamu wote tuna hulka ya ubaguzi, nakumbuka wakati nasoma ulaya enzi hizo alikuja mwafrika mwenzangu kutoka nchi fulani sitaitaja, huyu mwafrika nilimpokea na nikamsaidia kwa mambo mengi tu, baada ya kumjua kwa miezi 6 akaja his countrymate mi nikajua atafurahi kumbe wanachuki za kikabila mimi bila hiyana nikampokea huyo countrymate wake ila yeye alikasirika kaniambia kabila lao ni wabaya sana nikamwambia nitamjua tu kama ni mbaya ila kwa sasa siwezi acha kumsaidia kumuonnyesha njia na mengineyo. then huyo mwafrika aliyemchukia his country mate akaja kubaguliwa na wazungu kwenye restaurant akaja kwangu amekasirika kwamba wazungu ni wabaguzi sana hawatupendi watu weusi, nikamwambia mbona hawana tofauti na yeye? maana hata yeye amembagua his countrymate kisa kabila lake. nikamuwambia aanze kupenda kila mtu wala hawa wazungu hawatampa stress.
 
Mkuu hebu acha udhadhalishaji bana! Mwenzio kaleta hali halisi inayotutokea watu weusi huki mashariki halafu wewe unanena uji.nga tu?

Aargh!

Tumekusikia dogo haya rudi darasani ukasome ili ukamilishe kilichokupeleka huko. Huu umbeya uuache hukohuko kwao.
 
Tena umesahau ukipanda bus kama wewe ni mweusi utaona wanafunika pua zao ,jamani watu wale wanashangaza .
 
Ubaguzi utaisha labda vizazi vingi vijavyo muingiliano wa watu utakavyozidi kukua.
Pamoja na kwamba hautaisha kabisa maana binadamu wengi wana hulka ya kutaka kuwa bora zaidi ya wengine.
 
Tena umesahau ukipanda bus kama wewe ni mweusi utaona wanafunika pua zao ,jamani watu wale wanashangaza .

Au wana kawaida ya kuwaita Waafrika "xiao hei gui" (小黑&#39740😉 au "hei gui" wakiwa na maana shetani mdogo mweusi au shetani mweusi.

Ukishawashtukia na kuwaumbua wasivyo watajifanya kuomba msamaha huku wakivunga kuwa hawana maana mbaya.
 
Hahahahaha mimi huwa siwaelewi ila nilikua nikiona wanaziba pua ndo nawasogelea na kujifanya bus limenisukuma.Obama amesaidia kwa kiwango flani kwani wengine wakikuona wanadhani umetoka kwa Obama lol.
 

Aree paapaa... umenikumbusha mbali sana
 
Hahahahaha mimi huwa siwaelewi ila nilikua nikiona wanaziba pua ndo nawasogelea na kujifanya bus limenisukuma.Obama amesaidia kwa kiwango flani kwani wengine wakikuona wanadhani umetoka kwa Obama lol.

Mbona ulikuwa wapata tabu hivyo, sisi wengine tulikuwa tunawapa makavu live wanabaki na "bu hao yisi" nyingi...

tamade suoyo de zhongguo ren!! (usisome hapa hahah)
 
Hii rangi haijalaaniwa mzee ila
Imebarikiwa sanaa kupita wengine wote, we are the real Jews,
Watu tu hawajui.
 
Hizo stry za mtu mweusi kulaaniwa ni uongo jamani watu bado mnayaamini hayo yaliyoandikwa na wazungu wakachora Yesu mweupe hayo ndio yanatukandamiza na yatakandamiza vizazi vijavyo unless elimu ishupaliwe kwa sana, la sivyo.
Tutajifeel 3rd class people while we're the best.
 
Wewe nawe haya yametoka wapi mkuu ni aje wewe,
Unajua maan ya kafir?
Kikwao ni mtu asiyeamini dini yao kama wakristo mnavyowaita wa mataifa, ni vile tu hilo neno linasound vibaya
 
Mkuu hebu acha udhadhalishaji bana! Mwenzio kaleta hali halisi inayotutokea watu weusi huki mashariki halafu wewe unanena uji.nga tu?

Aargh!
Huu aliouleta ndio ujinga. Wewe kama unabisha mchukue mchina mpeleke kijijini kwenu uone jinsi watu watakavyomshangaa na hata kutaka kumgusa ili kuona kunani kwenye ngozi yake. Huo nao utaita ubaguzi? Wewe kama unahisi hukubaliki huko uliko na hufurahii hali hiyo rudi nyumbani utakapothaminiwa. Hata mimi nimeishi huko na kuamua kurudi nyumbani kujenga nchi ifanane na za huko ughaibuni ili vijana mbaki hapa nyumbani.
 
Tumekusikia dogo haya rudi darasani ukasome ili ukamilishe kilichokupeleka huko. Huu umbeya uuache hukohuko kwao.

una umri gani wewe? umefikirisha akili kidogo kabla ya kuchangia? Tumia busara katika maandiko yako. Unaita huu umbea?
 

Huu ubaguzi wa rangi juu ya mwanadamu mwingine hususani sisi waafrika ni dalili za wivu kisaikolojia! ukweli ni kwamba kuna hofu ya asili juu ya mtu mweusi kwani ni binadamu tunaonekana kuwa "hatushindwi kufanya lolote lile na muda wowote ule" wao wenyewe hawa weupe wanakiri Muafrika ameumbwa tofauti ki utendaji hasa katika ubunifu, in bone mentality- wao wanavyo sema. mbona sisi hatuwachukii tunawapenda? ila nadhani mwisho wa hii kasumba umefikia mwisho wake, maana nashuhudia jinsi mataifa ya magharibi dada zao na mabinti zao wanavyokimbilia kuolewa na muafrika tena anaye ishi afrika
 
ubaguzi ni compelex phenemeno tusiwalaumu sana, mm nakumbuka miaka ya nyuma kidogo baba yangu alikuwa kiongozi wa dini, na wazungu walikuwa kakienda kwake ;missionaries, aise watoto walikuwa wakigusa ngozi ili wawaangalie iko je ,mtoto akishikwa na mzungu analia vibaya hataki, so wanaofanya hivyo ni wale wasio na exposure ya maeneo mengine ya dunia hii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…