Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

UnaweA kudhani labda ni ushambalkn sio

Kuna demu aliingizwa cha kiume akaolewa kumbe jamaa alijuwa fundo garage akawa anaensa kwa bidada leo na verosa, kesho markx siku nyingine rav4 akaingia mkenge
unaweza kuzimia aisee.. kumbe magari ya wateja wake anaamgalia kama yametengemaa
 
Mpaka unalala na mtu hujajua kuwa Hana hela au hilo gari sio Lake?

Mnapenda kuogelea wanawake kama ni wajinga fulani. Inaonyesha aina ya wanawake mnaopata, na wanaReflect jinsi mlivyo.
 
Mpaka unalala na mtu hujajua kuwa Hana hela au hilo gari sio Lake?

Mnapenda kuogelea wanawake kama ni wajinga fulani. Inaonyesha aina ya wanawake mnaopata, na wanaReflect jinsi mlivyo.
Tatizo ni ile laana ya kwenye bibilia,Na itawaandama mpaka siku mungu atawaondolea.
 
Kina mama baadhi wanapenda kutambiana sana best ake akidate na jamaa mwenye gari hakika ukipita mwenye gari mda huo kwa huyo rafiki yake umezoa kama bfrnd wake ana ndinga ndo keshaachwa hivyo...Hivi visa vya unaacha budget ya msosi hme unarudi unakuta wife kaenda piga wax si uongo ni za kweli kisa tu jirani jana kapiga wax na yeye atafanya kila awezalo alipe mapigo..
 
hapo sawa .. usipime oil kwenye gari unatia watu mzuka

:) Ningeruhusu ingekuwa mazoea... Mzuka upo, ni kuji- contorl tu, kwa sababu haiwezekani mtu, mnabusiana yeye anajivua chupi ndani ya gari... bila wasi wasi wala woga...
 
:) Ningeruhusu ingekuwa mazoea... Mzuka upo, ni kuji- contorl tu, kwa sababu haiwezekani mtu, mnabusiana yeye anajivua chupi ndani ya gari... bila wasi wasi wala woga...
sasa si kapata hamu khaa acha bwana uchoyo wa dushe usiwe unabusu kwenye gari
 
Back
Top Bottom