Wasichana mnao tafuta wenza, tatizo ninini hasa?

Ili swali nilikuwa ninajiuliza, nikakaa nikatafakali nikapata haya majibu
1, Wanawake wengine wanaotafuta wanaume huwa wamepoteza sana mda kwenye Elimu, na walikuwa wanadhalau wanaume kipindi wanasema, Maana walikuwa Hawai'i umuhimu wao kipindi icho
2: smart women, hili halina ubishi wanaume hatupendi wanawake watawala yeye kila kitu anajua, pia Ana Elimu kubwa, anapesa nyingi, hawa Mara nyingi wanadhalau wanaume na hujikuta wanafikisha umri wa kuolewa hana hata mchumba
3; busy, kuna wanawake wako busy na shughuli za kiofisi au binafsi na hujikuta Hawana mda na wanaume, wanakuja kustuka mda nao ushawatupa mkono
4: Tamaa, uMalaya na wizi
6: kuteswa na mapenzi, Tabia ya mwanamke anakaa kitu moyoni ata miaka Kimi, wengi huwa wanateswa na kukata Tamaa ya kupenda na wakija kutulia na kufikilia kupenda umri ushaenda na idad ya wanaume wanaomtongoza ishapungua
Umewatetea hapa
 
Wanaume wanawatongoza sana tatizo wanataka mwanaume aliyekwisha yapatia maisha hawataki yule ataanza nae kutafuta life
 
wa mtaani wanaboa uwongo wao ni ule ule, mitandaoni unakutana na watu wengi zaid na tofauti
 
Boyson Onlye nakubaliana na ww. naongezea sabb nyingine juu ya hzo ulizoelezea.

wanawake smart sana kwa mavazi na tabia wanapishana na wanaume. akiwa kwenye daladala jinsi alivyo valia ni kiheshima utadhani mke wa mtu. masharo baro wakitupiana upuuzi hachangii kitu chochote kwenye maongezi. njiani yupo serious. sehemu za starehe hawezi kwenda akakaa kihasara hasara, ataenda na ndugu zake.

usiku mnene ndo kabisa humuoni, hivo sehemu yao stahiki ni hapa jf.
 
Nimekuwa nikijiuliza inakuaje msichana kutafuta mume kwenye social media?

Tatizo linakuwa ninini hasa?
Je mlikuwa mnachagua sana?
Mnasura mbaya?
Umri umewatupa?

Yani huwa naogopa mtoto wa kike kusaka mwenza wakati wanaume wengi wapo mtaani tena wachokozi kweli.

Embu mtupe sababu kwanza.
Chema.....kibaya......
Note: we are very expensive tena utake radhi dada zako. Fyoooo!!
 
ukweli ni kwamba wanawake weng wanapoteza muda kwa wanaume ambao hawana nia nao wakiamini labda watabadilika au watajifunza kuwapenda, by the time wanazinduka miaka ishaenda. sie wanaume tukiona demu haeleweki tunasepa bila majadiliano. uvumilivu ndo unawacost wanawake sio kwamba wanachagua au wana matatizo la hasha..tatizo ni wanaume waharibifu wanawapotezea muda wao. Nashkuru Mungu sijawahi mpotezea muda mwanamke kuna laana ndani ya kitendo hicho boss kwa sie wakristo tunaaamini hivo
Una elfu kumi nikupe buku
 
Tatizo wanawake wengi wanachagua sana wanaume wanataka wenyepesa mapenzi baadae .Kwa mazingira kama hayo ni vigumu kumpata atakayempenda kwa dhata.
 
ukweli ni kwamba wanawake weng wanapoteza muda kwa wanaume ambao hawana nia nao wakiamini labda watabadilika au watajifunza kuwapenda, by the time wanazinduka miaka ishaenda. sie wanaume tukiona demu haeleweki tunasepa bila majadiliano. uvumilivu ndo unawacost wanawake sio kwamba wanachagua au wana matatizo la hasha..tatizo ni wanaume waharibifu wanawapotezea muda wao. Nashkuru Mungu sijawahi mpotezea muda mwanamke kuna laana ndani ya kitendo hicho boss kwa sie wakristo tunaaamini hivo
yani mkuu umeongea point sana.....!?that's true
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom