General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,023
Nimekuwa nikijiuliza inakuaje msichana kutafuta mume kwenye social media?
Tatizo linakuwa ninini hasa?
Je mlikuwa mnachagua sana?
Mnasura mbaya?
Umri umewatupa?
Yani huwa naogopa mtoto wa kike kusaka mwenza wakati wanaume wengi wapo mtaani tena wachokozi kweli.
Embu mtupe sababu kwanza.
Mkuu umefanya utafiti?wanawake wanaotafuta wanaume mitandaoni wengi wao wezi na matapeli!
Kwani wewe huonekani?hatuhawaona halafu tunaogopa kuwatongoza bora huku nyuma ya keybord
inategemea mazingira nayoishi sikutani kabisa na wanaumeKwani wewe huonekani?
Kwann usitongozwee?
Au unachagua?
Hii kali.Shida dada zako wachaga ni wengi mpaka kero..! Makanisa ya kirokole wamejaaa huko eti wanatafuta wanaume
Hasa mbona unasema unaogopa?inategemea mazingira nayoishi sikutani kabisa na wanaume
wanatokea wachache mara moja moja inakuwa ngumu kuwatongozaHasa mbona unasema unaogopa?
True 100%Shida dada zako wachaga ni wengi mpaka kero..! Makanisa ya kirokole wamejaaa huko eti wanatafuta wanaume
Ugulugulu ni uongo kwa ki lugha gani vile?wanatokea wachache mara moja moja inakuwa ngumu kuwatongoza
Ili swali nilikuwa ninajiuliza, nikakaa nikatafakali nikapata haya majibuNimekuwa nikijiuliza inakuaje msichana kutafuta mume kwenye social media?
Tatizo linakuwa ninini hasa?
Je mlikuwa mnachagua sana?
Mnasura mbaya?
Umri umewatupa?
Yani huwa naogopa mtoto wa kike kusaka mwenza wakati wanaume wengi wapo mtaani tena wachokozi kweli.
Embu mtupe sababu kwanza.
Jibu ni moja tu unachagua sana.hatuhawaona halafu tunaogopa kuwatongoza bora huku nyuma ya keybord
Wanajipendekeza kwa wanaume wenye mali wanaishia kuliwa tu.ukweli ni kwamba wanawake weng wanapoteza muda kwa wanaume ambao hawana nia nao wakiamini labda watabadilika au watajifunza kuwapenda, by the time wanazinduka miaka ishaenda. sie wanaume tukiona demu haeleweki tunasepa bila majadiliano. uvumilivu ndo unawacost wanawake sio kwamba wanachagua au wana matatizo la hasha..tatizo ni wanaume waharibifu wanawapotezea muda wao. Nashkuru Mungu sijawahi mpotezea muda mwanamke kuna laana ndani ya kitendo hicho boss kwa sie wakristo tunaaamini hivo
Kuna ukweli hapa.wanawake wanaotafuta wanaume mitandaoni wengi wao wezi na matapeli!
Anachagua wasio type yake.Kwani wewe huonekani?
Kwann usitongozwee?
Au unachagua?