Wasichana kuwaitia wizi wapenzi wao (kisa cha juzi udsm). .

so sad. . .

Na nyie wanaume, pesa kitu gani bana una uwezo wa kuzitafuta issue nyingine sio za kung'ang'ania hata.....
 
Ilishatokea mwaka 2007/8 kula mabibo, mdada wa
Muhimbili alimwitia mwizi b/f wake, waungwana
wakaja wakashusha kipondo cha nguvu. Masikini
walojua uhusiano wa wawili hao walipowajulisha wapigaji
ilikuwa too late to save his life. Alifariki pale pale
dispensary ya hostel ya mabibo

Mdada alifunguliwa kesi ya mauaji, sijui iliishia wapi. ilibidi
ahame hostel na shule pia nasikia aliacha
 
Hivi visa ni too common udsm hasa Mabibo since 2005
 
Jamani.......ajamani........Huu utamu utatumaliza.
Inasononesha, inasikitisha na inauma kuona damu ya mtu asiye na hatia anaangamia pasipo sababu!
 

Sasa huyo dada ameweka danguro la kuzia mwili wake hapo chuoni ?hayo ndiyo matatizo ya kulipa in advance .
 

Mkuu,mbona mi nakumbuka the same case nadhani 2007/08 jamaa alikua msabato,ilikua ni Mabibo hostel
 

Hii sinema naikumbuka mkuu jamaa alitepeteta kwelikweli n haikuwa fair maana jamaa alikuwa anatupwa kwenye ngazi kama kiroba. Lakini kiliwaka vioo vikashushwa na mawe warden akajifungia kwake wakaona sio tabu wakamshushia mafuriko ya maji ndani mwake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…