Wasichana kuwaitia wizi wapenzi wao (kisa cha juzi udsm). .

Ndugu, mihangaiko ya maisha ni tofauti na yua kwako. Mihangaiko yako ni ya masomo, amin amin nakuambia, mihangaiko yako ya masomo ni myepesi sana kuliko ya maisha. Ukimaliza chuo ndo utaelewa povu la wana-jf dhidi ya jk na sirikali yake!
Duuh?Huu ubize alafu mavuno hafifu,eti sijasikia hicho kisa akati nipo hall 2,mihangaiko ya maisha inatufanya kukosa news..Sasa mkuu huyo Mshikaji amefariki?Nijuze tafadhali.
 
Hii habari sio ya kweli kwasababu mshkaj alikuwa mwizi kweli.na walimchukua kuanzia hal4 ambapo alikua anakimbilia majumbani kwa watu,akawa anadai yeye mwanafunzi,wakamwambia awaoneshe Id akaishia kuwaambia "idea ninayo!"!mpaka hapo watu wakajua kweli ni mwizi.i saw him myself wakati wanampitisha hal4!watu huwa wanazusha sometimes!he is nobody's boyfriend!
 
Hii tabia ipo sana kwa mabinti wa chuo,jaman chonde chonde usimfate demu wako room,bora mkakutanie theater tu!
 
Vyuoni wezi wanabore kishenz!!jana kakoswa koswa mwingine alikuwa anataka kuiba laptop hal4!kama sio aliokolewa na auxiliary police sasa hivi ingekuwa habari nyingine!
 
Hii habari sio ya kweli kwasababu mshkaj alikuwa mwizi kweli.na walimchukua kuanzia hal4 ambapo alikua anakimbilia majumbani kwa watu,akawa anadai yeye mwanafunzi,wakamwambia awaoneshe Id akaishia kuwaambia "idea ninayo!"!mpaka hapo watu wakajua kweli ni mwizi.i saw him myself wakati wanampitisha hal4!watu huwa wanazusha sometimes!he is nobody's boyfriend!

Thats how students justify themselves whenever any suspect at campus is apprehended. Kama hana ID its not a justification that he was a thief. Kama alikuwa mwizi kamwibia nani? I have the report from the time he started talking to the girl, students asking his ID, the first attempt to beat him and all that. We umemwona akipitishwa hal 4 after people have started called him thief.
 
inawezekana ni boyfriend asiye mwanafunzi
 
Women! I wonder why men bother aisee!
Umeona eeh!?
Yaani hata la kusema hapa nakosa. Mpaka unafikia hatua ya kumwita mwenzio mwizi, anashushiwa kipigo cha haja, anapoteza maisha...jamani

Haya hawa nao ndo wasomi? Wanajichukulia sheria mkononi? Kweli kusoma si kuelimika
Miaka ya 2005/6 kisa kama hiki kilitokea mabibo hostel, jamaa alidundwa tofali mpaka humtamani.
 
Vyuoni wezi wanabore kishenz!!jana kakoswa koswa mwingine alikuwa anataka kuiba laptop hal4!kama sio aliokolewa na auxiliary police sasa hivi ingekuwa habari nyingine!
And you guys are so proud of it huh?
 
Thats how students justify themselves whenever any suspect at campus is apprehended. Kama hana ID its not a justification that he was a thief. Kama alikuwa mwizi kamwibia nani? I have the report from the time he started talking to the girl, students asking his ID, the first attempt to beat him and all that. We umemwona akipitishwa hal 4 after people have started called him thief.

id na idea vinafanana?
 
And you guys are so proud of it huh?

nobody is proud of it ila ungewahi kuona namna wanafunzi wa campus wanavyokatwa mapanga na kunyang'anywa their belongings sidhani kama ungekaa ukawatetea wezi!
 
Simtetei mwizi wala siwatetei wachukua sheria mkononi. Cumpus kwenu si kuna AUX Police? Hilo tatizo la vibaka haliwezi kufanyiwa mkakati likatatulika? Taasisi kubwa kama UDSM?

Haya tuchukulie mfano wa huyo mlomtoa uhai juzi, alikuwa na silaha gani alowatishia nayo?

Yaani mtu hadi anajitetea kuwa nina ID, si mngemkamata tu awaonyeshe na akishindwa mumsogeze kituoni?

Insyaead you decided to use excessive power unnecessarilly

Wasomi bana nyie...
 
stress za kunyimwa mikopo
Stress za kutawaliwa na ccm
Stress za disco
Stress za kunyan'ganywa mademu zao na walimu
Ndio yanapelekea hayo kuua
Wasomi wa tz bwana
 
Mimi nakumbuka Mabibo Hostel 2006, Jamaa aliitiwa mwezi na mwanamke, watu wakaanza kumpiga bahati nzuri jamaa akadondosha ID ndo watu wakajua Mwanafunzi mwenzio na alikuwa mpenzi wa yule mwanamke, wanafunzi wakiume wakavamia block A na B, mpaka defender zikaja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom