Wasi wasi

Wasi wasi

Saulloson

Senior Member
Joined
May 25, 2012
Posts
103
Reaction score
35
Jamani wanajukwaa naomba mnipe mawazo yenu hapa etu ikitokea unamwanamke uko nae in relation anakwambia anaenda kuonana na mwanaume flani walishawahi kufanya nae kazi sehemu flani,unapojaribu kumuuliza anamind yaani kuchukia kabisa hapo kuna ishara gani jamani mawazo yenu nianze kujipanga kwa lolote litakalontokea make nampenda mnooooo !!!please
 
Kuna mawili hapa
  1. Kuna kitu anaficha na anaenda nyuma ya mgongo wako.
  2. Anaona humuamini kwasababu unamfatilia sana.
 
Lkn hv ni kumfuatilia sana kama mtu anaenda kumcheki mwanaume mwenzangu kweli sina haki ya kuuliza
 
Lkn hv ni kumfuatilia sana kama mtu anaenda kumcheki mwanaume mwenzangu kweli sina haki ya kuuliza
Una haki ya kuuliza lakini inategemea na jinsi unavyouliza.Kama amekuaga na unajua anaenda kuonana na fulani sehemu fulani bado ukileta wasiwasi ni ishara kwamba humuamini kwasababu anao uwezo wa kukudanganya kama ana mipango yake mingine anaweza kuitekeleza vilevile.Wivu ni chachu ya mapenzi mkuu lakini ukizidi inakuwa kero.
 
Ana "Date" na huyo mwanaume. Pia tarajia kuwa kidumu muda wowote kwa sababu hajatulia kwako bado ni msafiri. Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume hata siku moja. Mwisho wa matokeo wote tunajua.
 
Duuuuu hapa patamu kwakweli ngoja niendelee kusikilizia picha linavyoenda nitegemee likite hapa
 
Kwenda nae tena ndugu yangu wacha nimuache aende mwenyewe akawe huru kwa lolote1!
 
inategemea msingi wa mahusiano yenu yakoje. je! mlikutana katika mazingira gani? ni ilikua changamoto ya kwanza katika mahusiano yenu
 
Nimekutana nae miaka kama nane hv iliyopita ba nipo nae kwahyo miaka yote,hamna changamoto yoyote tata niliyowahi kukutanq nayo
 
Nae una mruhusu....??? Unaishi nae? Una mtegemezi wako???
 
Punguza wivu mwamini na ujiamini.
uko sawa dada sema Mdharau mwiba Mguu huota tende hivyo asiridhike na kumwamini 100% anaweza akapata suprise ya bila kutegemea akaaibika bure na kuonwa -----
 
Miaka Nane Uchumba? Kama Humuamini Ongozana Nae Japo Urafiki Wa Me Na Ke Haupo Kama Kweli Ni Urafiki Si Ngonozembe Kwanini Huyo Jamaa Asije Waonane Hapo Kwenu Kwaheshima Yako, Kuwa Makini Mwizi Wako Huyo, Hata Kama Sio Leo, Badae Atakuibia
 
Hatuajafikiq hata uchumba tumekuwa wanafunzi kwa muda woote huo wq mahusiano yetu yy bado anasoma mm nimemaliza mwkaa jana,yy yupo mwaka wa pili sahv af niko nae mbali kitu ambacho siwezi kumcontrol kwa lolote atakalotaka afanye
 
mhhh ingekua zamani tungesema wasi wasi wa buree,,,ila kwa enzi iz huhu jamaa atakua anampa mambo aiee
 
No way aiseee hapa natakiwa kushika langu aisee bila shaka
 
Jamani wanajukwaa naomba mnipe mawazo yenu hapa etu ikitokea unamwanamke uko nae in relation anakwambia anaenda kuonana na mwanaume flani walishawahi kufanya nae kazi sehemu flani,unapojaribu kumuuliza anamind yaani kuchukia kabisa hapo kuna ishara gani jamani mawazo yenu nianze kujipanga kwa lolote litakalontokea make nampenda mnooooo !!!please

Kaka bora nusu shari kuliko shari kamili...! Love is a choice and deuces(let go) its a decision.
 
Kuna mawili hapa
  1. Kuna kitu anaficha na anaenda nyuma ya mgongo wako.
  2. Anaona humuamini kwasababu unamfatilia sana.

Hapo point number 1 ndo naona ndo itamsaidia zaidi ya hapo atakuwa anajifanya kichobi kuingia kwenye kundi la ninga..! Atachanika mabawa buree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom