Washtakiwa watano mauaji ya bilionea Msuya wahukumiwa na Mahakama Kuu adhabu ya kunyongwa hadi kufa

Mwanadamu ana kiwango cha chini sana cha kufikiri heri ukose hela sio akili unaua MTU sababu ya Mali au siasa kwa ishu za kupita,then unaenda kuishi jela akili matope,wa Ben 8,azori kabla hawajaondoka duniani wajiaandae kuulipia uovu,tuishi miaka mingi tutashuhudia.
 
Mi
Mi naona kama adhabu hii imejiridhisha Kiongozi
LiverpoolFC upo sahihi kabisa, tena nakukumbuka kwa post zako za awali kabisa za huyu Msuya pale mjohoroni na huko Mbuguni.
sisi tulio mbali kupitia JF tuliuelewa ule mchezo wa wivu wa mali
Ndugu sasa waridhike
tusubiri Hukumu kamili
 
washtakiwa watano katika kesi ya kumuua kwa kukusudia mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya wamehukumiwa na mahakama kuu kanda ya Moshi adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa kuua kwa makusudi mfanyabiashara huyo.

waliohukumiwa kifo ni mshtakiwa wa kwanza sharifu Mohammed, mshtakiwa wa tatu Mussa Mangu, wa tano Karim Kuhundwa , wa sita; Sadick Mohamed na wasaba Ally Musa Majeshi hukumu hiyo imetolewa leo na jaji salma Maghimbi pia mahakama imemuachia huru mshtakiwa wa pili shwaibu Jummanne baada ya kumkuta hana hatia!
 
Back
Top Bottom