Washkaji wengne ni hamnazo kabisa

Washkaji wengne ni hamnazo kabisa

Deportivo la coruna

Senior Member
Joined
Aug 16, 2021
Posts
163
Reaction score
268
Jana nmeshangaa sana yaani, nmetoka sehemu nikakaa, nikampigia simu mwanamke wangu aje tupate vinywaji kidogo Mimi nilikua nakunywa wine, baada ya nusu saa akaja ila hakuja mwenyewe akaja na marafiki zake wa wawili, kwahiyo pale mezani tukawa mtu 4.

Tukanywa sana vinywaji, wakala wakasaza. Wakati tunamwagilia moyo akaja jamaa mmoja akanivuta pembeni.

Jamaa: Oya mwanangu vipi hawa mbona wamekuvamia?

Mimi: Wamenivamiaje?

Jamaa: Si nimeona shemeji kaja na wenzake bro atakutia hasara.

Mimi: Hasara gani Kwani Kuna shida?

Jamaa: Hela ngumu bro unamuitaje mwenyewe aje na wengine kama team ya mpira?

Mimi: Hela unatoa wewe?

Jamaa: We mwanaume mwenzangu nikiona unaliwa hela au unafuja mali lazima tuambiane ukweli kaka!

Mimi: Kwahyo unatakaje?

Jamaa: Mi nilikuwa nakusanua tuu.

Mimi: Acha kufuatilia mambo ya watu unajua unachonipa yule mwanamke, Mimi hata akinichuna poa tuu!

Jamaa: Hakuna cha ajabu bob mjini hapa.

Mimi: Poa, ngoja niendelee na starehe zangu fuata mambo yako!

Jamaa: Sikia kaka hapa mjini mshkaji wangu wanakutiaje hasara, wewe umemuita mmoja wanakuja 100 ndio nini Sasa? Pitia mlango wa nyuma huku watoroke wapambane na bill wenyewe!

Alivyosema jamaa hvyo nilicheka sana, hivi mtu Hela hutoi wewe inakuuma nin?
 
23.jpg
 
Mwanao alikua na hoja za muhimu, sema kwa vile una vichenchi vya kufanyia anasa ukamuona fala. Ila ipo siku utamkumbuka.

Ilipaswa huyo babe wako akuambie mapema babe nakuja lkn sitokua peke yangu ntakuja na fulani na fulani. Kitendo cha wewe kumpanga aje halafu ghafla anakuja na team ni ishara kwamba hazionei huruma pesa zako na ameshakufanya danga. Usikute kabla ya kuja aliwaambia mashosti, "twende tukalinywee lile danga letu!!!"

Shtuka!!! Control your moves!
 
We unamuona jamaa fala sisi tunakuona fala wewe, wanaume huwa letu moja ndiyo maana jamaa alikuwa free kukusanua sema kakukuta wemwenyewe mshamba unaunoko fulani hivi. Ogopa sana mwanamke hasa unapoingia kwenye mahusiano ukiwa na vichenji.
 
Unaeza Kuta nyumban wazaz hawana hata Hela ya kununulia chumvi ila umejiona mjanja kununulia madanga pombe na vyakula....jamaa yawezkana anawajua vizur rafik wa mke wako pamoja na huyo unaemwita mke kwamba ni kawaida Yao kualikana kwenny mserereko....sasa umesanuliwa unajibu mbovu ukijionq ni mjanja
 
......job true true, mi nilijua labda Jamaa ameleta fujo au alitaka kulazimisha umpatie demu mmojawapo, au anafosi ashee meza, kumbe alikuwa anakushauri mambo ambayo huwa tunajadili humu kila siku, then umemuona yeye mshamba na kwamba wewe mjanja yaani gentleman mnasema wenyewe, ok fine kupanga ni kuchagua........
 
Jana nmeshangaa sana yaani, nmetoka sehemu nikakaa, nikampigia simu mwanamke wangu aje tupate vinywaji kidogo Mimi nilikua nakunywa wine, baada ya nusu saa akaja ila hakuja mwenyewe akaja na marafiki zake wa wawili, kwahiyo pale mezani tukawa mtu 4.

Tukanywa sana vinywaji, wakala wakasaza. Wakati tunamwagilia moyo akaja jamaa mmoja akanivuta pembeni.

Jamaa: Oya mwanangu vipi hawa mbona wamekuvamia?

Mimi: Wamenivamiaje?

Jamaa: Si nimeona shemeji kaja na wenzake bro atakutia hasara.

Mimi: Hasara gani Kwani Kuna shida?

Jamaa: Hela ngumu bro unamuitaje mwenyewe aje na wengine kama team ya mpira?

Mimi: Hela unatoa wewe?

Jamaa: We mwanaume mwenzangu nikiona unaliwa hela au unafuja mali lazima tuambiane ukweli kaka!

Mimi: Kwahyo unatakaje?

Jamaa: Mi nilikuwa nakusanua tuu.

Mimi: Acha kufuatilia mambo ya watu unajua unachonipa yule mwanamke, Mimi hata akinichuna poa tuu!

Jamaa: Hakuna cha ajabu bob mjini hapa.

Mimi: Poa, ngoja niendelee na starehe zangu fuata mambo yako!

Jamaa: Sikia kaka hapa mjini mshkaji wangu wanakutiaje hasara, wewe umemuita mmoja wanakuja 100 ndio nini Sasa? Pitia mlango wa nyuma huku watoroke wapambane na bill wenyewe!

Alivyosema jamaa hvyo nilicheka sana, hivi mtu Hela hutoi wewe inakuuma nin?
We jamaa ni mkuda,afu mshamba unajikuta basi born town, mwanaume mwenzio alikusanua afu unajibu ki mama,nyie ndio mnakuaga mnalia lia baadae
 
Back
Top Bottom