Washitakiwa wizi Ofisi ya DPP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Washitakiwa wizi Ofisi ya DPP

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Raia Fulani, Jan 14, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  IDADI ya washtakiwa wa wizi wa gari na kompyuta, mali ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) inazidi kuongezeka kutokana na mshtakiwa mwingine kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutuam.

  1. Mshtakiwa huyo Abubakari Kamugisha (31)- inshomire

  Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni dereva ofisi ya DPP:
  2. Ally Ramadhani Mustapha (unknown)
  3. Haji Mwanga (probably mpare)
  4. Bakari Makara (possible mchaga)
  5. Deogratus Coster (possible mchaga)
  6. Philipo Jose (possible mchaga)
  7. Athony Mengi-mangi
  8. Mary Lyimo-mangi
  9. Jacob Mosha-mangi
  10. Wilfred Maleko-mangi
  11. Alex Kimario-mangi
  12. Hajat Faraji Kileo-mangi

  llanyee! mnakwiba hadi ofisi ya mshtaki mkuu? llekenyi ullakuso ngaterewa ko Ruwa. llekenyi kuchukuchu!
   
Loading...