Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,468
Umeme ulikatika asubuhi. Nikaamua kwenda matembezi. Nimetoka Butiama kwenda kijiji cha jirani cha Busegwe,kilomita ngapi sijui,tano,sita,saba,I don't know. Wakati wa kurudi,natembea,nimewaona wamekaa chini katikati ya ile barabara ya vumbi.[murram]. Nadhani ni wachimba madini hawa. Walikuwa na vyombo vyao vya kuchimba madini,mitarimbo mingi,ya kunipiga nayo bila shaka.
Wale watu walikuwa wamekaa chini,na zikaja bodaboda kadhaa ,wakafika pale wakaanza kuzungumza nao,wanaonekana kama walikuwa wote conspirators.
Halafu akapita mdada mmoja,halafu likapita lorry,basi,wale watu wakaamua kuondoka. Na mimi wakati huo nilikuwa nimesimama,sitaki kwenda mbele,mpaka waondoke.
Walipoondoka,nilipokwenda mbele kidogo,nikaona gari imepakiwa machakani,pembeni ya barabara,wamo watu wamevaa kiraia,na mmoja alikuwa amevaa nguo za skauti. Wale watu nadhani walikuwa ni polisi,maybe they were keeping an eye on those folks I had just seen. Kwa sababu kama walitokea kijijini Butiama na ile mitarimbo,njia inapita kituo cha polisi.
Lakini kwa pale walipokuwa polisi,wangeweza kuwakamata wahalifu kama wangetenda tukio,lakini wasingeweza kuwazuia.
Ndio matatizo ya huku kijijini. The place is sparsely populated.




Dharma may find me in her hands at the keyboard--YOU WILL FIND ME IN THE WORD OF TRUTH--IN THE THOUGHT AS PRESENTED. And the ''physical'' signs? In the twinkling,strobing colored light beams of the viewable heavens---our army waiting twixt YOU and the very planets and stars you NAME so that you cannot miss us! To NOT recognize our presence,YOU HAVE TO DENY US!
 
Huyu jamaa huwaga simuelewi kabisa asee.
kuna wakati flani alipata kaaumarufu ka ubwete hapa jf kwa kuhoji uhalali wa yericko nyerere kutumia id yenye jina la nyerere.ila hata mim huwa cmuelewi.
 
Nasikia mjani wa musoma mkali sana kama wa olkokola!!!hukawii kuwa manjilinji haahaha!
 
Reactions: amu
nashukuru kwa kutujulisha kuwa wewe(mleta uzi) ni mulemavu wa ngozi,
 
kachumbari flavour chagua kitunguu, nyanya ama limao utapata ladha au vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…