Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,004
Amani iwe kwenu.
Katika hali ya kusikitisha nimekutana na baadhi ya watu ambao ni wahusika wa idara za serikali waliokuwa wanufaika wa mishahara hewa.Wengi wanakimbilia kwa waganga ili kuroga watu wote wenye nia njema kudhibiti suala hili.
Katika hali ya kusikitisha suala hili linakingiwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani ambao hadi sasa sijui nia yao,ila tumewadhibiti kwa maombi na kwa kushirikiana na waumini wa dini zote ambao wameahidi kuunga mkono jitihada za Raisi John Pombe Magufuli.
Wito wangu kwa watanzania bila kujali itikadi ya dini tuungane kufichuwa na kukemea hali hii.