jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018
“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.
Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.
Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.
Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US
Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...
Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/