Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,987
22,515
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018

“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.

Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.

Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.

Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US

Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...

Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
 
Mwandishi pia anadai kuwa Maghufuli ameweza kufanya matendo mengi maovu kwa kuwatumia wasaidizi wake bila ya wao kuhusishwa na uhalifu huo...Mfano kumtumia Makonda kufanya mambo machafu nje ya yale ya kiofisi! Na kwamba huwa anajiweka mbali na matendo yao ya kikatili, lakini kumbe yeye ndo yuko nyuma yao! Nimemnukuu hapo chini...

“Commissioner Makonda, seen as Magufuli’s apprentice, does much of the government’s dirty work. The government has shied away from open repression, which could lead to losing international aid and moderate voters’ support. Through local officials, Magufuli can use violence — while still being able to distance himself from an “unruly local official” when necessary.”-
The Washington Post

Pascal Mayalla
 
What’s going on? Since 1961, Tanzania has been ruled by the same party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). While it has never been a democracy, Tanzania had been better known as a safari tourism destination and as a donor darling. How have things become so repressive so quickly?

The answer lies in the 2015 election of John Magufuli as president. Since then, opposition politicians have been arrested, harassed and beaten. TV offices have been raided and newspapers suspended. Regime critics — journalists, business executives, oppositionpoliticians, student leaders — have been kidnapped, forced into exile or assassinated by “unknown assailants.” Some have never beenseen again. Much more violence outside Dar es Salaam hasn’t been reported, even in the Tanzanian press.
 
Pia inadaiwa na mwandishi kuwa Maghufuli anawatumia wakuu wa wilaya na mikoa kupambana na kuwafanyia fujo wapinzani. Haswa sehemu zenye kuwa na viongozi wa upinzani nk. Wanasema wanalipizia kisasi kwa kuwaadhibu watu wa maeneo hayo kwa kuchagua upinzani!

“I find that regional and district commissioners take a more active and violent role in areas where the opposition runs local governments. They make it difficult for opposition governments to effectively deliver public services, thereby simultaneously punishing those who voted for the opposition and discrediting opposition parties.”-The Washington Post.
 
Hapa hapa dar penyewe miili kibao imeokotwa kawe huko nano ameripot zaid ya kurushiana sisi kwa sisi kwenye whatspp ? Chombo gani kimereport ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.
 
Pia inadaiwa na mwandishi kuwa Maghufuli anawatumia wakuu wa wilaya na mikoa kupambana na kuwafanyia fujo wapinzani. Haswa sehemu zenye kuwa na viongozi wa upinzani nk. Wanasema wanalipizia kisasi kwa kuwaadhibu watu wa maeneo hayo kwa kuchagua upinzani!

“I find that regional and district commissioners take a more active and violent role in areas where the opposition runs local governments. They make it difficult for opposition governments to effectively deliver public services, thereby simultaneously punishing those who voted for the opposition and discrediting opposition parties.”-The Washington Post.
Nimeshituka alipoandika kuwa wenyeviti wengi wa serikali za mitaa niwa chama chake au wanajeshi wastaafu na ukiangalia ni kweli.
 
Nimeshituka alipoandika kuwa wenyeviti wengi wa serikali za mitaa niwa chama chake au wanajeshi wastaafu na ukiangalia ni kweli.
CCM inatizamwa kwa jicho baya sana kwa sasa especially na wafadhili. Wanafahamu kuwa tatizo ni ccm kama ukisoma hiyo makala vyema. Ni mfumo mbaya sana. Ni wazi kelele za tume huru na katiba mpya vitapewa kipaumbele na ccm na serikali yao wajitafakari kabla ya kuendeleza utamaduni wao wa bao la mkono! Maana naona mambo yanabadilika kwa kasi.
 
Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.

Basi ungetuhabarisha kuwa hawa jamaa walianza zamani kutufuatilia kwani mie nilifikiri Washington Post wameandika habari hii ikiwa na connection moja kwa moja na issue ya Makonda ya sasa hivi, anyway sio mbaya kuiona leo ngoja watu waitafakari tena kwani historia huwa haifutiki
 
Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.
Taarifa nyingi zilizoandaliwa ufipa ha ha ha
 
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.

Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
[/QUOTE

MZEE WA MAREKANI, KULI KONI UME CHANGE GEAR ANGANI TENA?
WEWE SI ULIKUWA MTETEZI MKUBWA WA MAGUFURI IWEJE UME MGEUKA? AU KWA SABABU MZEE WS TASHWI. SHWI ANATAKA RAIA WARUDI UNAOGOPA KURUDI?
 
Article nzuri sana, si kwa sababu inatuambia kipya ambacho wa Tanzania tunaofuatilia mambo hatujui, bali kwa sababu imekusanya mambo mengi pamoja, kwa hadhira ya kimataifa.

Nimependa sana alipoandika kuhusu "plausible deniability". Nimetoka kuongelea "plausible deniability" hapa JF nafikiri siku mbili tu zimepita.

Kwa sasa inabidi Magufuli awe mdogo tu na akubali amechemsha kumuachia Makonda, vonginevyo, watu watajua yeye ndiye anayemtuma.
 
Back
Top Bottom