Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Makala unayo quote ninya 2018,tuletee makala zao za mwaka 2020
Kwahiyo makala kuwa ya 2018 kunayafanya matukio hayo kuwa siyo ya kweli? Au accusations kuwa invalid?

Unataka waandike habari za Tanzania kila siku, unalifahamu #TheWashingtonPost ?

Swali hapa lilitakiwa litokane na hoja iliyoko mezani.
 
Hoja yako imepitwa na muda leta hoja za mwaka huu kutoka huko mabeberu,aliekua anawaandikia yupo jela,leta hoja zitakazo akisi mwandishi mpya
Hii hainaandikwa na Kabendera. Umejisumbua hata kuipitia kabla hujaja na blah blah?

Pia unaweza ukawa specific kuhusu hoja iliyopitwa na muda? Unaweza kuitaja hoja yangu iliyopitwa na muda?
 
Uhuru wa habari unapominywa, lazima kuna yasiyo mema yanafanyika gizani.
MTU safi afanyi mambo gizani,Ukiona wapinga ufisadi mfano Assad wakifukuzwa,upinzani na taasisi zisaidiazo kumulika ufisadi zikishughulikiwa uhitaji kujua moja mara moja jibu ni moja
 
MTU safi afanyi mambo gizani,Ukiona wapinga ufisadi mfano Assad wakifukuzwa,upinzani na taasisi zisaidiazo kumulika zikishughulikiwa uhitaji kujua moja mara moja jibu ni moja
Suala la Assad nalo limeharibu sana wengi tulidhani ufisadi utashughulikiwa bila upendeleo. Lakini inaonekana kuna wale ambao wananufaika sana na utawala huu nyuma ya pazia ndo maana hawapendi uhuru wa habari na ni ma anti-transparency.
 
Suala la Assad nalo limeharibu sana wengi tulidhani ufisadi utashughulikiwa bila upendeleo. Lakini inaonekana kuna wale ambao wananufaika sana na utawala huu nyuma ya pazia ndo maana hawapendi uhuru wa habari na ni ma anti-transparency.
Huwezi mtenganisha mswahili na ufisadi,kupata bikira ccm ni sawa na kupata bikira wodi ya wazazi.How ccm underdevelope Tanzania.
 
Nipo njiani wakuu na tarehe mbili nipo apo TZ ...nataka kuwafikisha Mifias wote mbele ya Haki ..Nani alimpa JPM sumu wakati akiwa Waziri, nani alimpa Mzee Mangula sumu,Kibiti ,shambulio la Lissu nk
 
Back
Top Bottom