Taratibu za uchaguzi zanzibar wa tarehe 25/10/2016 ulizingatiwa na Tumshukuru Mwenyezi Mungu, uliisha salama salimini.
Napenda kuwakumbusha washindi wa nafasi za Udiwani/Usheha na wale wa Baraza la wawakilishi kuwa Uhusiano wenu na ZEC uliisha pale mlipokabidhiwa vyeti vya ushindi. Ni Vyeti Halali kwa namna zote. Baada ya hapo ZEC hawana mamlaka yeyote juu yenu maana mliisha malizana kwa kukabidhiana vyeti. Yeyote anayepinga au kulalamikia matokeo baada ya hapo aende mahakamaniiiii!
Kwa matiki hiyo, nyie subirini kuhudhuria vikao halali vinavyohusika.
Hawa wengine watakaochaguliwa katika uchaguzi wa tarehe 20/3/2016 nadhani watapangiwa kazi nyingine na na Bwana Jecha na washirika wake maana ndio wanamahitaji nao. Ki katiba hawana nafasi.