JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Jukwaa | Mshindi | Kura |
Jokes | 47% | |
Kilimo na Uvuvi | 68% | |
Technology | 93% | |
Celebrities | 28% | |
MMU | 69% | |
Siasa | 49% | |
Michezo | 49% | |
Afya | 58% | |
Garage | 40% | |
Lugha | 56% | |
Elimu | 54% | |
International & Kenyan | 62% & 83% | |
Historia | No competitor | |
Photos & Habari na Hoja & Intelligence | 83% & 50% & 32% | |
Biashara na uchumi | 42% | |
Chef | No competitor | |
Sheria | No competitor | |
Entertainment | 82% |
Huyo tutamjua tu picha zao zikiwekwaHadi akina cocastic wanashinda
Naoana cocastic ameupiga mwingi,Habari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Machakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.
Jukwaa Mshindi Kura Jokes 47% Kilimo na Uvuvi 68% Technology 93% Celebrities 28% MMU 69% Siasa 49% Michezo 49% Afya Herbalist Dr. Mzizi Mkavu 58% Garage 40% Lugha 56% Elimu 54% International & Kenyan 62% & 83% Historia No competitor Photos & Habari na Hoja & Intelligence 83% & 50% & 32% Biashara na uchumi 42% Chef No competitor Sheria No competitor Entertainment 82%
Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.
NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.
Hongereni sana.
Pembe halifichiki na miye nitakujamkumuona live pompoma mwandamiziSiku ya kutoa zawadi nitakuja na bila shaka Blaza Popoma nitamjua maana hajifichi.
mpwayungu village akiacha kuwadis walimu tuzo atazipatahongera Genta japo
nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list,
Sahizi kapunguza dis mkuumpwayungu village akiacha kuwadis walimu tuzo atazipata