Washindi wa Vodacom Appstar

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,357
9,062
JF imekuwa ikitangaza shindano la vodacom Appstar challenge ambalo linafikia tamati hivi leo tarehe 18/12/2013 mjini Nairobi. Ajabu sijaona press release yeyote kutangaza washindi(local winners) ambao watawakilisha nchi Nairobi.Naomba yeyote aweke link ya washindi tupate taarifa ya apps ambazo zinatuwakilisha mjini NRB. personally i think vodacom ought have given press release on the matter.
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,293
1,845
Fainali ilikuwa jana Nairobi, Kenya imechukua nafasi ya kwanza, India ya Pili, South ya Tatu.
Mkenya meshinda na app ya kuschedule SMS, kwa mawazo yangu kuna upendeleo hapa wa mcheza kwao, but anyway.

Wabongo walichaguana wenyewe kwa wenyewe naona, hakuna tangazo lolote la local results kutoka voda, na lile shindano la idea ndo sijui limepotelea wapi. Wabongo walienda app ya Farming moja (Kilimo Fasta) na App ya kuuza ticket za events moja(TiME).

Voda TZ ovyo sana kwenye hili. Yaani ile website ya Shindano hadi jana bado walikuwa hawajaweka details zozote, hadi leo ukienda section ya Tanzania inasema "To Do" kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom