Washindi shindano la China made, mbona hamjaleta mrejesho?

N'jomba-N'tu

Member
Aug 17, 2015
55
95
Washindi mbona hamjaleta mrejesho. Ni huawei aina gani mmepewa?.Juzi jumatatu ndo mlipewa hizo simu ila Hivi hata kutupia taarifa hapa jf japo hata kushukuru tu pia mmeshindwa?@winchester, @plusbee, cognition
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom