Washauri wa Rais Wajiuzulu

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,066
5,398
Washauri wa Rais wote waliokuwa kwenye press comference, kongamano, bungeni na kwengineko waliokuwa wanatoa kauli mbali mbali kuhusiana na kikokotoleo kipya wanapaswa kujiuzulu mara moja. sababu

  1. Hawakumshirikisha ipasavyo Rais kuhusu kikokotoleo ndio maana leo kabatilisha maamuzi yao
  2. Hawakuwa wakweli kwa Rais ndio maana imemlazimu Rais kuwaita shirikisho la wafanyakazi kuwasikiliza na kisha kufanya maamumuzi aliyoyafanya
  3. Katika hali ya kawaida maamuzi ya RAIS yanapingana na msimamo wao waliokuwa nao hivyo kupaswa kumeza matapishi yao, hivyo ni muda muafaka kuwapa wengine nafasi wamsaidie Rais
  4. Wameonyesha kupwaya kwenye nafasi zao hadi Rais kufanya mjia mmbadala ambayo wao wangekuwa wamefanya kabla (kukutana na shirikisho la vyama vya wafanyakazi) wangekuwa wamepata suluhisho kabla ya Rais kuingilia.

Kiungwana na kwa roho safi wajiuzulu nafasi zao za ushauri kwa Mh. Rais badala yake wafanye kazi zingine za kuijenga nchi.

Call Me Jay.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kichaa AJIUZULU yeye ndiyo tatizo NAMBARI ONE nchini. Nchi imemshinda siyo siri.

Washauri wa Rais wote waliokuwa kwenye press comference, kongamano, bungeni na kwengineko waliokuwa wanatoa kauli mbali mbali kuhusiana na kikokotoleo kipya wanapaswa kujiuzulu mara moja. sababu

  1. Hawakumshirikisha ipasavyo Rais kuhusu kikokotoleo ndio maana leo kabatilisha maamuzi yao
  2. Hawakuwa wakweli kwa Rais ndio maana imemlazimu Rais kuwaita shirikisho la wafanyakazi kuwasikiliza na kisha kufanya maamumuzi aliyoyafanya
  3. Katika hali ya kawaida maamuzi ya RAIS yanapingana na msimamo wao waliokuwa nao hivyo kupaswa kumeza matapishi yao, hivyo ni muda muafaka kuwapa wengine nafasi wamsaidie Rais
  4. Wameonyesha kupwaya kwenye nafasi zao hadi Rais kufanya mjia mmbadala ambayo wao wangekuwa wamefanya kabla (kukutana na shirikisho la vyama vya wafanyakazi) wangekuwa wamepata suluhisho kabla ya Rais kuingilia.

Kiungwana na kwa roho safi wajiuzulu nafasi zao za ushauri kwa Mh. Rais badala yake wafanye kazi zingine za kuijenga nchi.

Call Me Jay.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja!! Juzijuzi Gen Matti's (Waziri wa Ulinzi wa Marekani) alipotofautiana na Rais Trump kuhusu kuondoa majeshi ya USA huko Syria; kudhihirisha kutoridhika na uamuzi huo alijiuzuru. Wanasiasa wengi hapa Afrika ni ving'ang'anizi au wanaogopa kukosa ajira; kwa kifupi hawaongozwi na wanachokiamini kwamba ndiyo ukweli.

Back
Top Bottom