Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Washauri wake nimiongoni mwao ni MIMI.
Sema kile kifanyika nje ya tamanio la genge fulani huonekana ukosefu.
1. Sabaya alipokamtwa ilikuwa oya oya neno MITANO TENA likaja.

2. Pinduapindua ya baraza la awamu ya tano ilikuwa oya oya neno Sukuma gang likaja

3. Safari nchi za nje ilikuwa oya oya neno Anafungua NCHI likaja.

4. Yapo mengi ANAFUTA LEGACY ya ..... Anaupiga MWINGI

5. Sasa KATIBA BAADAE imekuwa uwiiii uwiii neno DIKTETA limekuja

5. Mwenyechair Kamata. Imekuwa uwiii uwiii, na Maneno mengi.
Tutaendelea KUMSHAURI kwa "maslahi mapana ya Tz" by Mbatia voice. Magenge yote yataguswa wa kulia walie wa kucheka wacheke. PERIOD
 
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.

Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!

Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.

Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?

Majina yao ni nani na nani?

Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?

Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?

Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.

Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.

Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.

Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?

Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.

Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?

Atavunja rekodi wanawake hawataaminika tena na tena ndio basi tena
 
YAANI...Kuna wakati najikuta naamini sana kuwa huyu mama anategemea zaidi Watu/ washauri waamue badala yake kisha wanamuambia tu amua hivi/fanya hivi naye hana jinsi

Kwasababu nikiangalia mfano msimamo wake juu ya tozo wanazolipishwa watanzania kupitia miamala...yeye binafsi hakuliafiki kwasababu alisema litazamwe upya, Mara paaap ni kama limelazimishwa na Mwigulu Nchemba na kupitishwa then mama akakaa kimya kumaanisha amelikubali

Hata Suala la kukamatwa kwa Mbowe ni kama vile mama anakuja kushirikishwa mambo baada ya kufanyika...

LAKINI pia kuna mambo mengine naamini anafanya kwa utashi wake, kwa mfano uteuzi wa hawa watoto / vibinti vya CCM kuteuliwa katika nafasi za Ukuu wa wilaya au Ukurugenzi, hapa naamini hajashauriwa ni ameamua yeye kama yeye kupitisha majina hayo.

Kifupi, yeye kama Rais kuna lawama nyingi anapaswa kuzipokea kutokana na nafasi aliyo nayo.
Uko vizuri sana sana, good brain, umewasilisha vzr na rejea nzuri pia.
 
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.

Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!

Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.

Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?

Majina yao ni nani na nani?

Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?

Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?

Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.

Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.

Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.

Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?

Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.

Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?

Mwisho wake 2025 apende asipende hapatakuwa na yeyote wa kumuwezesha kwa hilo ni never.
 
Nafikri mwanzoni alibadilisha sana watu ikulu na aliteua wasaidizi na washauri kila idara kuna siasa , uchumi na n,k
nafikiri tukitafuta press release za mwanzo kabisa anaingia basi utaona majina yao na nafasi zao
Ni kweli alichagua wasaidizi.. Lakini kumbuka Rais pia amezungukwa na watu wengine zaidi ya hao.. Ndani ya Ikulu kuna vitengo vingi.. Na wanaoviendesha ni hao hao waliotoka awamu ya 5 na bado wanafikra za JIWE.
Rais anatakiwa asikilize sana wananchi kisha awaite wasaidizi na kumshauri mbona kuna malalamiko haya...?
Mfano kuna watu hawajalipwa mazao yao Pamba.. Korosho nk.. Kuna watumishi walionewa makazini, kuna watu walibomolewa nyumba zao tena hazipo road reserve.. Kuna wafanyabiashara walipokwa mitaji yao.. Kuna watu wamebambikwa kesi., kodi za miamala.. Nk nk..
Hayo ndio mambo anayotakiwa yeye kama Rais awe na muongozo wake mwenyewe kichwani.. Kisha washauri wanaboresha.. Na sio washauri wanamletea kila kitu.. Kisha yeye anawajibu haya nendeni mkatekeleze mlichoniambia
 
Ninachoona pro-mwendazake wanajua udhaifu wa huyu mama, ndio maana wanam-feed 'maujinga' na anakubali ili 2025 aonekane dhaifu na wamtoe ktk kinyanganyiro cha uraisi, beleave me, time will tell.
 
Kigogo siyo reliable hata kidogo! Anabahatishaga tu.

Kinachofanyika siku hizi sometimes wakijua kigogo ameshajua wao huwa wanagairi au kubadilisha kile alisema Kigogo ndio maana unazani siyo reliable .

Bimkubwa akijua jamaa kajua huwa anagairi au anabadilisha au ku delay kile alichoandika Kigogo .

Kwa hiyo wewe utaona mbona imekuwa tofauti kumbe awali ilikuwa kweli lakini ikagairishwa au kubadilishwa .
 
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.

Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!

Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.

Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?

Majina yao ni nani na nani?

Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?

Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?

Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.

Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.

Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.

Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?

Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.

Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Wapo aliwateuwa kuna mkeka wake punde tu alipoingia tena hao ni wale wa ofisi yake binafsi sio wa kiprotocol wakiwemo VP na PM. Kuna wa uchumi, wa sheria, wa mahusiano ya kimataifa nk. Ngoja nichimbe mkekka nikutupie

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.

Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!

Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.

Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?

Majina yao ni nani na nani?

Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?

Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?

Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.

Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.

Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.

Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?

Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.

Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?

Iko hivi

1628935941525.png
 
Kinachofanyika siku hizi sometimes wakijua kigogo ameshajua wao huwa wanagairi au kubadilisha kile alisema Kigogo ndio maana unazani siyo reliable .

Bimkubwa akijua jamaa kajua huwa anagairi au anabadilisha au ku delay kile alichoandika Kigogo .

Kwa hiyo wewe utaona mbona imekuwa tofauti kumbe awali ilikuwa kweli lakini ikagairishwa au kubadilishwa .

So far inakuwa inawagharimu ambao wanaahirisha au kubalidilisha kile walichokuwa wamekusudia kufanya kwa wakati.

Yani uache kufanya jambo lako ulopanga kufanya kwa wakati fulani sababu tu ya kushindana au kumkoa mtu fulani?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom