Washauri wa Mama ni janga la taifa

Washauri wa Mama ni janga la taifa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Mama pale alipoacha kusikiliza wazalendo na kuanza kumsililiza kikwete na genge lake mashuhuri kama wana mitandao sasa amekuwa mateka.

Kibaya zaidi hilo genge hata halimpendi Mama. Wameweka watu kila mahali . Mama kaweka Wanzanzibari ambao wenyewe walivyo wajinga jinga wanaogopa Lissu na mambo ya mitandao wakati wenzao wanajalli biashara na familia zao.

Tatizo kubwa washauri wa Mama kama sefue wana mwogopa Kikwete kwasbabu aliwapa kazi hata IGP Mwema naye ni kikwete, Othman Chande kikwete hivyo hawa washauri wanashidwa kwasabu wanajua kikwete yuko nyuma ya hao wafanyabiashara
 
Sio washauri bali ni wapotoshaji kwa maslahi binafsi
 
Mama pale alipoacha kusikiliza wazalendo na kuanza kumsililiza kikwete na genge lake mashuhuri kama wana mitandao sasa amekuwa mateka. Genge la kikwete linatawala kuanzia nani awe makamu wake, watu wa kumzinguka. Kibaya zaidi hilo genge hata halimpendi Mama mtu wao ni Emanuel Mchimbi. Wameweka watu kila mahali kiasi kwamba hata Mama akifa leo report ni watu wa mtandao watatengeneza na sio usalama wa taifa ambao nao ni WATu wao. Mama kaweka Wanzanzibari ambao wenyewe walivyo wajinga jinga wanaogopa Lissu na mambo ya mitandao wakati wenzao wanajalli biashara na familia zao. Tatizo kubwa washauri wa Mama kama sefue wana mwogopa Kikwete kwasbabu aliwapa kazi hata IGP Mwema naye ni kikwete, Othman Chande kikwete hivyo hawa washauri wanashidwa kwasabu wanajua kikwete yuko nyuma ya hao wafanyabiashara
Huyo mshauriwa sasa!
 
Kwani ni lazima kupokea kila ushauri ? Nini maana ya kuwa kichwa cha familia ?
 
Naye hana akili pia, yaani nishauriwe upuuzi halafu nikubali?!
 
Ni uzwazwa na kutokufikiri mbali. Hivi ni nani mpumbavu kiasi cha kuwa wa hovyo hivi. Ninacho fahamu ni hata kama unashauriwa lazima unakuwa na room yako ya kuchambua hiki ndio hiki hapana. Sio kila kitu yes pia sio kila kitu no. Uwezo wa kutambua mema na mabaya unao sasa kinacho mshinda sijui ni kipi.
 
Back
Top Bottom